Mkuu fursa nenda na boksi la rizlaKuna sehemu nilifika Katesh, Arusha huko, zamani sana. Nilishangaa kukuta wavuta sigara hata magazeti ya kusokotea sigara hawana bali wanatumia mabua ya mahindi. Nilikuwa na gazeti wakafurahi kweli kweli nilipowapa.
L is silent mkuu tunapaita ushotoLushoto siyo kubaya ila njia ya kufika huko ndiyo mtihani. Swali lililokuwa likizunguka kichwani ni namna gani mtu wa kwanza kufika kule alifikaje na milima ile.
Ni zamani sana. Sasa hivi mambo yamebadilika.Mkuu fursa nenda na boksi la rizla
Singidani au Kindai samaki wapo sana wa kawaida tu,nishavua sana.Ilikua ukwen inabid uoneshe udume nikakomaa siku saba maana kuna maajabu mlima ule kuna wakat upepo ukivuma unasikia kelele za watu wanashangilia kama goli la mpira kijiji cha mingera singida karibu na misri
Ndio mr sijui ziwa ziwa mto maana wanavua masamak makubwa makambale na perege had mamba wapo ukigoogle kuna ziwa singidani ila kuna mto mkubwa sanaaa shelui kule kwenyw mgod kwa mbeleee kabisaa wenyeji kama wapo watakuelekeza
Aisee vijiji vya kushuka bus njiani then unaingia ndani ndani ambako unajiuliza huku Kuna watu kweli!? Kama vijiji vya njombe.Njooni mtupe habari
Ukitaka ivyo vijiji uvione, pita njia ya Dodoma - Iringa kupitia Mtera. Kuna mtu alisema walipita na bus usiku knm, yaani nje huoni kitu, hafu mtu anasema shusha hapo, yaani huoni ata mwanga wa taa, ila mtu kafika.Aisee vijiji vya kushuka bus njiani then unaingia ndani ndani ambako unajiuliza huku Kuna watu kweli!? Kama vijiji vya njombe.
Eeeeh,huko nilipita December, unajiuliza huyu anaelekea wapi??Ukitaka ivyo vijiji uvione, pita njia ya Dodoma - Iringa kupitia Mtera. Kuna mtu alisema walipita na bus usiku knm, yaani nje huoni kitu, hafu mtu anasema shusha hapo, yaani huoni ata mwanga wa taa, ila mtu kafika.
Itakuwa hawaogopi! Kama njombe misitu Giza Hadi mchana daahUkitaka ivyo vijiji uvione, pita njia ya Dodoma - Iringa kupitia Mtera. Kuna mtu alisema walipita na bus usiku knm, yaani nje huoni kitu, hafu mtu anasema shusha hapo, yaani huoni ata mwanga wa taa, ila mtu kafika.
Gereza la Idete lipo Ifakara njia ya kwenda Mlimba teena lipo main road kbsPole Sana mkuu ulihama mkuu huko Kuna gereza la Idete ndio hakuna barabara!!!! duuu tatizo
Kuna ile unapiga road trip halafu unakuta kuna mwamba anatembea pembeni ya barabara ukiangalia umeendesha kama 10km hukuona chochote kabla yake na unaenda tena 10km mbele bado ni pori unabaki kumshangaa.Jamani watu 2026 hamjasafiri?
Njia mtihani kivipi wakati ni lami kutoka chini hadi juu? Wakoloni wakijerumani waliokuwa wanalima mkonge walichagua kule juu Lushoto kuwe makazi yao kwasababu ya hali ya hewa ni kama kwao Ujerumani.Lushoto siyo kubaya ila njia ya kufika huko ndiyo mtihani. Swali lililokuwa likizunguka kichwani ni namna gani mtu wa kwanza kufika kule alifikaje na milima ile.
Halafu utanuzi wa barabara waje kubomolewa bora huko hukoEeeeh,huko nilipita December, unajiuliza huyu anaelekea wapi??
Kumbe huko katikati Kuna nyumba,
Sasa sijui kwanini hawajengei barabarani!
Namna inavyotisha maana ukikosea kidogo tu watu wanazika nguoNjia mtihani kivipi wakati ni lami kutoka chini hadi juu? Wakoloni wakijerumani waliokuwa wanalima mkonge walichagua kule juu Lushoto kuwe makazi yao kwasababu ya hali ya hewa ni kama kwao Ujerumani.