Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
Walimu wa shule za msingi ndio wanavijua sana vijiji,wengine bado wanaishi hukohuko na wengine walikimbia,waje humu kutoa ushahidi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hadi leo huwa najiuliza hivi hawa watu vyoo vyao wanachimbaje, au wanaweka uchafu wao kwenye rambo?Mwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.
Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.
View attachment 2378247
Hiyo nauli ni mara mbili ya kutoka iringi to mbeya mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
EwaaaaahKwenda mpaka chamkoloma kwa walima mahindi
Kama mm mkuu acha kabisaDuuh nipo nasoma comment nastaajabu tu
Hatari sana mkuuHahah ndo ujue kuna watu wanaishi dunia yao ndugu yangu [emoji38][emoji38]
Si nauli ya dar kabisa mkuu, kweli nchi kubwa hiiKilolo Iringa huko kuna kijiji kinaitwa Kisakulo...ni balaa yani. Nauli tu ya boda kutoka Kidabaga unaambiwa 35,000
Kama mm mkuu Moja watu ambao huwa nawashangaa ni watu wa Dar na maisha Yao. Mpaka najiuliza hakuna maeneo mengine ya kuishi lazima kuishi Dar?Dar es Salaam ......nilishangaa sana watu wanaishije pale wamefikaje huko.....manake usafiri maji ni tabu
Duu kweli mkuu? Kweli Dunia hii ni kubwaKijiji cha Amani-Ludewa wananchi wa kule ni zaidi ya ng'ombe! Wana maisha magumu! Na dhahabu ipo kwao!
Ni wavivu wa kujiongeza...wamekalia kulewa komoni na ulanzi tu!
Mwenzao mzee kaberege anazidi kujinufaisha kwa kununua maeneo yao yenye Mali...maana ameingia mkataba na WA south!
Hapo hapo Kuna ka-eneo tulikabatiza jina -Dodoma....hapo ndipo makao makuu ya Gono, Kaswende kuntu! na Ngwengwe!
Ni rahisi zaidi kupewa inshu na demu buree! kuliko kupewa kikombe cha maji ya kunywa!
Sasa huko makao makuu ya nchi nako shida!!!!??Niliwahi fika huko na kukaa kati ya 2015-2018, usafiri gar zinatoka saa 10 alfajiri kwenda Dodoma mjini maji ni shida. Kijiwe chao kikibwa ni Mtambalizeni
Halafu maeneo mengine ukichimba shimo mitaa chache tu jiwe tayari.hadi leo huwa najiuliza hivi hawa watu vyoo vyao wanachimbaje, au wanaweka uchafu wao kwenye rambo?
Duuu ndugu yangu watendaji wa vijiji mbona umewaaacha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Walimu wa shule za msingi ndio wanavijua sana vijiji,wengine bado wanaishi hukohuko na wengine walikimbia,waje humu kutoa ushahidi...
Jijini Mwanza Tena au Ile ni Shinyanga?Aisee kuishi koromije hakuna tofauti na kuishi kwenye mashimo marefu yenye giza na hewa nzito
Uongo huu.Kilolo Iringa huko kuna kijiji kinaitwa Kisakulo...ni balaa yani. Nauli tu ya boda kutoka Kidabaga unaambiwa 35,000
Anadanganya. Hakuna kijiji hiko huko Kilolo. Nimeshawahi ishi huko labda ni kitongoji japo ni kweli kuna vijiji toka Kidabaga hadi ufike huko nauli ni hiyo. Mfano Kijiji cha Kimala, Uluti, Idete, Itonya na Idunda ila hiko kijiji alichotaja hakipo.Si nauli ya dar kabisa mkuu, kweli nchi kubwa hii
AiseeeeKijiji cha Amani-Ludewa wananchi wa kule ni zaidi ya ng'ombe! Wana maisha magumu! Na dhahabu ipo kwao!
Ni wavivu wa kujiongeza...wamekalia kulewa komoni na ulanzi tu!
Mwenzao mzee kaberege anazidi kujinufaisha kwa kununua maeneo yao yenye Mali...maana ameingia mkataba na WA south!
Hapo hapo Kuna ka-eneo tulikabatiza jina -Dodoma....hapo ndipo makao makuu ya Gono, Kaswende kuntu! na Ngwengwe!
Ni rahisi zaidi kupewa inshu na demu buree! kuliko kupewa kikombe cha maji ya kunywa!
Dodoma. Ni sewa ijayo ya dar es salaam. Kwa miaka 5 ihayoKijiji cha Amani-Ludewa wananchi wa kule ni zaidi ya ng'ombe! Wana maisha magumu! Na dhahabu ipo kwao!