DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sheria zinazozuia Ziko Mbili Sheria Mama (Kanuni ya Adhabu ya makosa Ya Jinai) Penal code sura ya 16 pamoja na Sheria ya Ndoa "The Marriage Ordinance" Sura ya 29...Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Yes sheria ya ndoa hasa hasa. Na nyingine ni sheria ya makosa ya jinai (penal code)The Law of Marriage Act inakataza ndugu kuoana na ni kosa kisheria. Nimesahau specific provision ila ipo sheria hiyo.
Hata bigamy na polyandry ni kosa kisheria. Hapa namaanisha ni kosa kisheria mtu aliyepo kwenye ndoa ambayo haijavunjika kuoa ama kuolewa na mtu mwingine.
Ama mwanamke mmoja kuolewa na zaidi ya mwanaume mmoja.
Kuna binamu yangu namtamani sana.Hivi ndugu wanawavutia??
ππππ€£π€£π€£π€£ππππππππAthari za Kuangalia sn hizi category,
1. family Taboo affair
2. Seducing my Step sis
3. Massaging step bro
4. Blowjob My Brother's BBC
5. Sleeping sis
Binamu haijakatazwa na sheriaSawasawa nimekupata vyema mkuu.. Na ni ndugu hasa kwa mipaka ipi? Ndugu wa familia moja au inalenga hadi ndugu kama mabinadamu pia?
Sheria ya asili na sheria ya maadili.Habari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Mkuu upo vyema kwenye hii sector,.Athari za Kuangalia sn hizi category,
1. family Taboo affair
2. Seducing my Step sis
3. Massaging step bro
4. Blowjob My Brother's BBC
5. Sleeping sis
Binamu inaruhusiwa japo mi naona mtoto wa mjomba ni ndugu kbsKuna binamu yangu namtamani sana.
Namkwepa, sipendi kujisikia vile nikiwa karibu yake.
Asante sana Dr. Nimesoma vizuri kwa kina, nimekupata vizuri. Sasa nimezielewa vyema hizi sheria, sikuzijua hapo kabla... Japo bado sijaona kipengele kilichoelezea kuhusu hawa ndugu wanaoitwa "Cousins". Naona hawajaongelewa kabisa.Sheria zinazozuia Ziko Mbili Sheria Mama (Kanuni ya Adhabu ya makosa Ya Jinai) Penal code sura ya 16 pamoja na Sheria ya Ndoa "The Marriage Ordinance" Sura ya 29...
Kwa Penal code Soma Kifungu cha 158-162..
View attachment 2930663
View attachment 2930664
Kwa Sheria ya Ndoa ya mwaka 1977 "The marriage Ordinance Soma kifungu cha 14
View attachment 2930668
Binamu haijakatazwaAsante sana Dr. Nimesoma vizuri kwa kina, nimekupata vizuri. Sasa nimezielewa vyema hizi sheria, sikuzijua hapo kabla... Japo bado sijaona kipengele kilichoelezea kuhusu hawa ndugu wanaoitwa "Cousins". Naona hawajaongelewa kabisa.
Hatari π π ...Watu mna masihara kweli ninyiUnamega wa shangazi? Au wa ma mkubwa?
Imagine πHivi ndugu wanawavutia??
Hakuna Sheria yoyote wala Dini yoyote inayozuia kuoa Binamu Mkuu..Asante sana Dr. Nimesoma vizuri kwa kina, nimekupata vizuri. Sasa nimezielewa vyema hizi sheria, sikuzijua hapo kabla... Japo bado sijaona kipengele kilichoelezea kuhusu hawa ndugu wanaoitwa "Cousins". Naona hawajaongelewa kabisa.
Oky, sawasawa. Ahsante sanaBinamu haijakatazwa
Ahaa sawasawa Dr. Nimekupata vyema, Nashukuru sana.Hakuna Sheria yoyote wala Dini yoyote inayozuia kuoa Binamu Mkuu..
Binamu ni Ruksa Japo Taboo haziruhusu
Haha Na mtoto wa Baba mdogo au baba mkubwa vipi?Binamu inaruhusiwa japo mi naona mtoto wa mjomba ni ndugu kbs
Sheria ya makosa ya jinai. Wanasema kuzini na maharimuHabari za wakati huu wakuu,
Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Ancestry).
Shukrani sana..Ahaa sawasawa Dr. Nimekupata vyema, Nashukuru sana.