Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Toa ujinga wako unajua mfumo wa elimu ...Mfumo wa kimataifa umepitisha na Kuna vitu vyote .Ila mwamba ni muongo sana waarabu vyuo vinatumia mitaala ya wazungu, mfumo wa elimu Dunia kote ni WA wazungu kuanzia primary, secondary, first degree, masters na PhD ni mifumo ya wazungu kwa hiyo acha uongo
Kwamba hata wewe hiyo biashara hujui? Ulitaka jibu kumbe kichwani una lako ..Sasa imejuaje walikuwa wanafanya biashara kama hata biashara yenyewe huijui??
physics, chemistry, mathematics, biology, commerce usome Tanzania, marekani au sehemu yeyote ile hayo masomo yote yako sawa hakuna utofautiUna akili kwamba sisi tunasoma kama Western mbona syllabus yetu na wala international school hazifanani na wale ndo wanafuata mfumo huo.
Sisi tunafuata ustaarabu wao wa ukoloni kwani walitupa sehemu ndogo ya elimu ndo hii tuliyonayo ila sio elimu kamili.
Jiulize zamani walichukuwa baadhi ya watu na kuwasomesha nje hata Nyerere nafikiria alisoma nje level fulani.
We msukuma kale ugali akili imedumaa Kwa kule ugali...Mwarabu level ya Maisha yake huwezi kufikia Maisha yako yote ndo top katika biashara za bongo..halafu mnafuatia nyie washamba ngozi hazing'ai wala hazina nuru kwa kula ugali.Waarabu na wafuasi wake ni moja kati ya wanadamu wapumbafu sana. Huyo mwarabu asingepewa mafuta angekua ndio bogaz kabisa
We ndo mjinga huo mfumo wa kimataifa si ndo wa wazungu ambao wewe unasema utamaduni wao sio mzuri Zaid ya waarabuToa ujinga wako unajua mfumo wa elimu ...Mfumo wa kimataifa umepitisha na Kuna vitu vyote .
Sio waislamu sema warabu na wahindi mbona waislamu wa Tanzania wako kawaidaWaarabu Wana mifumo yao ya elimu huu mfumo wa shule ni mfumo wa wakoloni wa kizungu. Hata waafrika tulikuwa na mfumo wetu wa elimu. Waarabu walijikita Sana kueneza dini na utamaduni wao. Mfumo wao wa maisha ni elimu ya dini na biashara, thus hata sasa 80% ya matajiri nchini ni waislamu sababu ya asili yao. Hizi elimu za kukariri darasani KISHA ukaajiriwe serikalini ni ideology za Wakristo. Wafanyabiashara wengi ni waislamu, wamiliki wa malori, mabus, daladala, tax, maduka, magorofa, viwanda, masokoni wengi ni waislamu . Wakristo wapo kwenye ajira zaidi unajenga nyumba moja ya kuishi na moja ya kupanga maisha yameishia hapo unastaafu unasubiri kufa kwa cycle hio hio.
Kote huko wamekopi wazungu wao ndio asili ya maendeleo yote dunianiSasa una elimu ambayo ni ustaarabu wa kimagharibi hamna cha maana...Wao wanajielewa hawakopi ovyo kama nyie wana elimu zao Wana maisha Bomba hata maendeleo makubwa.
We Tanzania one unajiproud na nn ? Zaidi ya kuwa mjinga .
Dunia nzima Afrika ndo tunafuata elimu za wazungu coz bado hatujiwezi nenda Korea, China, Iran Wana mifumo yao tofauti na elimu zao hata kiteknolojia wako juu.
Waarabu na Wahindi ambao wengi ni waislamuSio waislamu sema warabu na wahindi mbona waislamu wa Tanzania wako kawaida
kama point ingekua ni dini waislamu waafrika wangekua na hela sana
Kuna wahindi wengi tu sio waislamu, kama point ingekua ni dini waislamu waafrika wangekua na hela sana lakin nenda zile sehemu zenye waislamu wengi waafrika alafu uone wanavyostruggleWaarabu na Wahindi ambao wengi ni waislamu
Wamekopi toka kwenye Quran.Ila tamadun za waarabu zko fresh na maadil mazuri
Ukipata mda nenda pwani ya Mombasa mpaka lamu uone ushoga ulivyokithiri na hayo maeneo yote waislamu ni asilimia 90+Wamekopi toka kwenye Quran.
Ushoga hauna diniUkipata mda nenda pwani ya Mombasa mpaka lamu uone ushoga ulivyokithiri na hayo maeneo yote waislamu ni asilimia 90+
Njaa mzee, wanashangaa vipi binadamu anaenda kusoma huku ana njaa hahahaaaBadala ya kuwapa watu elimu, wao wanawapa tende.
Kuna sehemu kulikua na shida ya madarasa, wakaemda kuombwa kuchangia ujenzi. Badala ya kuchangia ujenzi wa madarasa, wao wakaleta maboksi ya tende
Mimi sijui ndomaana nmeuliza...Sijui hata kama walikuwa ni wafanyabiashara.Kwamba hata wewe hiyo biashara hujui? Ulitaka jibu kumbe kichwani una lako ..
Nenda kagoogle usipende kupambia mambo.
Nenda google vyote vipo!! Ukijibu itaibua mjadala mpya🤣🤣Mimi sijui ndomaana nmeuliza...Sijui hata kama walikuwa ni wafanyabiashara.
🤣🤣🤣Kote huko wamekopi wazungu wao ndio asili ya maendeleo yote duniani
Aaah mkuu sina Mb natumia freebasicsNenda google vyote vipo!! Ukijibu itaibua mjadala mpya🤣🤣
Habari wadau.
Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc
Je, ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni Waarabu?
Maana waarabu walitangulia kuja Tanganyika na Zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja.
Zanzibar pia waarabu walifika mapema sana maana msikiti wa Kazimkazi ulijengwa mwaka 1006 AD, waarabu walitawala kwa miaka mingi Zanzibar na walifika mapema sana, naomba mnitajie ni shule gani ya sekondari waarabu walijenga Zanzibar, na ilijengwa mwaka gani?