Waarabu Wana mifumo yao ya elimu huu mfumo wa shule ni mfumo wa wakoloni wa kizungu. Hata waafrika tulikuwa na mfumo wetu wa elimu. Waarabu walijikita Sana kueneza dini na utamaduni wao. Mfumo wao wa maisha ni elimu ya dini na biashara, thus hata sasa 80% ya matajiri nchini ni waislamu sababu ya asili yao. Hizi elimu za kukariri darasani KISHA ukaajiriwe serikalini ni ideology za Wakristo. Wafanyabiashara wengi ni waislamu, wamiliki wa malori, mabus, daladala, tax, maduka, magorofa, viwanda, masokoni wengi ni waislamu . Wakristo wapo kwenye ajira zaidi unajenga nyumba moja ya kuishi na moja ya kupanga maisha yameishia hapo unastaafu unasubiri kufa kwa cycle hio hio.