Waarabu hawajawahi kutawala Tanganyika
Hapo kuna vitu viwili niwasaidie wakati nyerere anataifisha shule taasisi nyingi za waarabu hazikuwepo ila zilikuwepo taasisi za dini ya kiislamu mfano mzuri ni agha khan and ect... ambazo baadhi zilikua zinaendeshwa na waarabu nazo mali zake pia zilitaifishwa!!!Mfano mzuri taasisi za washirazi na taasisi za Ismailiya zote hizi zilikua na shule za mafunzo either dini au elimu dunia!!!!Kumbukumbu zipo au wewe unataka kujua waarabu kama walijenga shule za elimu dunia????????Kusema kweli wakoloni wa kiarabu hapa tanganyika hasa upande wa zanzbar hawakujihusisha sana na elimu dunia masna ingewanufaisha tabaka la chini(Wabantu)!!!Hasa wakoloni wa kiarabu kutoka Oman!!!!!Sababu omani kwenyewe elimu dunia ilianza kuuingia pale Sultan Qaabos alipompindua baba yake na kufanya mageuzi ya kiutamaduni na kiuchumiHabari wadau.
Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc
Je, ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni Waarabu?
Maana waarabu walitangulia kuja Tanganyika na Zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja.
Zanzibar pia waarabu walifika mapema sana maana msikiti wa Kazimkazi ulijengwa mwaka 1006 AD, waarabu walitawala kwa miaka mingi Zanzibar na walifika mapema sana, naomba mnitajie ni shule gani ya sekondari waarabu walijenga Zanzibar, na ilijengwa mwaka gani?
Kabla ya hapo huko nyuma walikua wanakaa wafanyabiashara wa kiarabu na wabantu!!!Sultan Sayeed Alipokuja kuteka yeye akaanzisha utawala baadae akahamia kabisa!!!Kuna binti yake wa kike aliandika kitabu miaka hiyo na kuna page kawaponda sana watu wenye ngozi nyeusi(Wabantu)!!!!Kitafute kinaitwa Memory of Arabian Princess tafuta nakala ya kingereza!!Mwanzoni mwa miaka ya 1700, Baada ya Kristo, Sultani wa nchi ya Kiarabu, ya Oman, aliteka Pemba na Kilwa.Na badae miji yote ya Pwani ya Afrika ya mashariki ikawa chini ya utawala wa Sultaani wa Oman. Mwaka wa 1840, Said bin Sultani alihamisha makao makuu ya himaya yake, kutoka Oman, akahamia Zanzibar. Sasa pwani yote ya Afrika Mashariki na Oman Uarabuni, ilikuwa chini ya serikali ya Zanzibar
Walitawala Ukanda wa Pwan mikoa yote ya pwanii ilikuwa chini ya sultani wa ZanzibarWaarabu walitawala mwaka gani? wale ni wafanyabiashara walikuwa na trade routes zao walipopita ndo waliacha tamaduni zao...
UongoWaarabu hawajawahi kutawala Tanganyika
Watu wengi wa pwani waliokuwa chini ya utawala wa Sultani Mwarabu hulalamikia wazungu kuwa waliwanyima elimu kwenye kelele zao na maandishi yaoWagalatia kwanini munateseka sana na Waarabu?
Haijawahi taifishwa na imejengwa miaka ya karibuni tu ya 1980 na sio ya waarabu ni ya waswahili wa BakwataKinondoni Muslim
Ilikuwa ya wakatoliki wewe sio ya waarabuNyakato secondary school- MWANZA [emoji736]
Lakini utakuta kutwa watu wa Pwani na Zanzibar hulaumu wazungu waliokaa muda mfupi kuliko waarabu waoWaarab wametawala Zanzibar na Pwani kwa miaka karibubl 1,000 na hata maili kumi za pwani Mjerumani aliuziwa na Sultan wa Zanzibar. Walishindwa kijenga shule au vyuo? Bado kuna pockets nyingi za nchi Waarabu walikuwepo kwa mida mrefu kama watawala kabla ya Wazungu kama vile Ujiji, Tabora, na central corridor karibu yote. Hawana cha kujitetea...
Watu wengi wa pwani waliokuwa chini ya utawala wa Sultani Mwarabu hulalamikia wazungu kuwa waliwanyima elimu kwenye kelele zao na maandishi yao
Wakati mzungu alikuja baadaye sana .Mwarabu ndie aliwahi na kutawala Zanzibar na Tanzania bara Ukanda wa Pwani
Badala ya kuwalakamikia waarabu waliowatawala miaka mingi kuwa hawakuwajengea shule za elimu dunia Kelele wanapekea wazungu waliokuja baadaye sana
Uislam upo Kilwa na Bagamoyo toka miaka ya 1200 huko kabla hata wazungu hawajaota kuja Huku.Waisilam wangejenga vipi nawao hawa kuwa watala wa nchi hii wazungu ndio waliokuwa watala kwa mgogo wa kanisa
Umeambiwa SHULE ZA SEKONDARI... Jifunze kusoma mada na kujibu mada.Kwa akili yako ilivyo finyu unafikir hizo madrasa walizo Jenga ni Nini kama sio shule
Sasa mbona wewe unapeleka watoto wako shule katika huo mfumo wa wazungu?Waarabu Wana mifumo yao ya elimu huu mfumo wa shule ni mfumo wa wakoloni wa kizungu. Hata waafrika tulikuwa na mfumo wetu wa elimu. Waarabu walijikita Sana kueneza dini na utamaduni wao. Mfumo wao wa maisha ni elimu ya dini na biashara, thus hata sasa 80% ya matajiri nchini ni waislamu sababu ya asili yao. Hizi elimu za kukariri darasani KISHA ukaajiriwe serikalini ni ideology za Wakristo. Wafanyabiashara wengi ni waislamu, wamiliki wa malori, mabus, daladala, tax, maduka, magorofa, viwanda, masokoni wengi ni waislamu . Wakristo wapo kwenye ajira zaidi unajenga nyumba moja ya kuishi na moja ya kupanga maisha yameishia hapo unastaafu unasubiri kufa kwa cycle hio hio.
Ili awe mstaarabuSasa mbona wewe unapeleka watoto wako shule katika huo mfumo wa wazungu?
Uko Dunia Gani mkuu.?Waarabu walitawala mwaka gani? wale ni wafanyabiashara walikuwa na trade routes zao walipopita ndo waliacha tamaduni zao...
Waafrika Bado wanaakili za hovyohovyo Kwa sababu ya Imani za hovyohovyo.Sasa una elimu ambayo ni ustaarabu wa kimagharibi hamna cha maana...Wao wanajielewa hawakopi ovyo kama nyie wana elimu zao Wana maisha Bomba hata maendeleo makubwa.
We Tanzania one unajiproud na nn ? Zaidi ya kuwa mjinga .
Dunia nzima Afrika ndo tunafuata elimu za wazungu coz bado hatujiwezi nenda Korea, China, Iran Wana mifumo yao tofauti na elimu zao hata kiteknolojia wako juu.