- Thread starter
- #281
Waarabu hawajawahi kutawala Tanganyika
Mwanzoni mwa miaka ya 1700, Baada ya Kristo, Sultani wa nchi ya Kiarabu, ya Oman, aliteka Pemba na Kilwa.Na badae miji yote ya Pwani ya Afrika ya mashariki ikawa chini ya utawala wa Sultaani wa Oman. Mwaka wa 1840, Said bin Sultani alihamisha makao makuu ya himaya yake, kutoka Oman, akahamia Zanzibar. Sasa pwani yote ya Afrika Mashariki na Oman Uarabuni, ilikuwa chini ya serikali ya Zanzibar
Kilwa sio Tanganyika ?