Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Hili ni jambo la kutafakari sana kwa kina.
 
 
 
sasa mkuu waarabu watajengaje shule hio miaka unayoizungumza wakati hata wao wenyewe hawakuwa nazo?
Uongo waarabu walikuwa nazo kwao ili hawakuleta Tanzania

Soma hapo

The Arab World: Home to the Oldest Learning Institutions in the World.​

POSTED ON: JUN 8, 2022


By: Anthony Bayyouk / Arab America Contributing Writer

The history of the Arab world covers many different topics, such as religion, architecture, and trade. A topic that is not talked about often is education. What some people may not know is that some of the world’s oldest learning institutions, in the world are located in the Arab World. From Morocco to Kuwait higher education has existed for centuries. The first educational institutions in the Middle East were focused on religious teachings. Religion was the only subject at these institutions for a long time. As the Middle East expanded subjects such as science and mathematics were added. After all, Arabs did invent Algebra. In this Article, Arab America will explore some of the oldest learning institutions in the Middle East.

Al Azhar University
Al Azhar University is located in Cairo, Egypt, and was founded in 970 AD. The founder of the University was a Sunni, and the basis of study when Al Azhar opened was Islamic law Theology and Arabic study. Al Azhar is the most important religious university in the Muslim world, at one given time 90,000 students study at Al Azhar. It is the main center of Arabic literature and Sunni Islamic learning in the world. Those three subjects are still the main majors at the university. Despite the many rulers, empires, and occupations that have come and left in Egypt the University survived through it all. The University is a statue for all other high education learning institutes in Egypt.

The University of al-Qarawiyyin
In Morocco, about three hours away from the capital lies the university of al-Qarawiyyin in Fez. Founded in 859 AD, the university is the oldest degree-granting institution in the world. Similar to Al Azhar, this university is also historically Muslim. The university’s library contains historic copies of the Quran. In fact, there is an interesting story behind the founding of the university. In 859 AD, a lady by the name of Fatima al-Fihri used her inheritance to fund the construction of a mosque for her community with an associated school. She intended to give back to the community that had welcomed her family many years prior. They immigrated when she was young from Tunisian. The university is still thriving and serves an array of majors such as medicine, astronomy, physics, and foreign languages.

Not far from the Tigris River in Baghdad, Iraq lies Mustansiriya University. The oldest university in Iraq and one of the oldest in the world. The Universe is named the great survivor. It obtained this nickname because the University survived the rise and fall of empires, regime changes, and drastic urban modernization. The university was established in 1227 AD by the Abbasid Caliph Al-Mustansir.

Mustansiriya University
Traditionally, in the Arab World, Education institutions were based on Religion. Starting in the eleventh century Sunni Islam dominated the education sector. The oldest institutions started as Islamic teaching centers, and still value the religion to this day. Institutions have grown by adding many majors, such as medicine and law, but Islam is still important to all these institutions.

American University in the Middle East
The many occupations of the Arab world have greatly influenced education in each nation today. In Egypt, Palestine, and Jordan education is shaped after the British system due to the decades of British occupation. All schools in those nations teach proper English. Although the schools are mostly attended by non-Christians, because of the British influence many schools are still private Christian schools that teach about Christianity. Egypt and Syria follow the French system due to the decades of French occupation. The influence of the French is still present in Lebanon every day. It is more common to speak French in Beirut than it is to speak Arabic. Similar to Egypt, Palestine, and Jordan. Lebanon is filled with Christian schools attended by non-Christians.

Overall, when you look deeper into the history of the Arab World. You will find an array of historical topics that are rarely talked about. Today, there are American universities scattered around the Middle East that teach hundreds of topics. Besides the American University’s nations, they have established many universities that serve majors unique to the region.
 
Hapa Mohamed Said hawezi kanyaga hapa. Anaona aibu... Mwarabu hajawahi msaidia mtu yoyote. Mi huwa nashangaa, mabilionea kama wale wa kiarabu mpaka leo huwezi kusikia wanajenga shule, hospital nk kama wazungu. Utaona wanachimba visima hivi vya milioni 3, sijui wanadhania tupo jangwani tuna shida ya maji? Na tena visima vyenyewe wanajenga misikitini! Mwarabu hamna kitu 🚮
 
Kaulize China huwa wanambana kuwaeleka wapi vyuo vikuuu wanafunzi wao bora.
 
Mbona point yako ni dhaifu sana kwa waarabu waje kukujengea 😂😂.

Hapo ushaweka ukristo wako kwamba ndo wazungu na hao wazungu in hata yesu hawamjui..kuwa na akili timamu hawajawahi kuitawala Africa haswa Tanzania ..

Inakuwaje unakimbilia kujengewe ili iweje?
 
Nadhani uelewa wako ni mdogo kwenye mambo ya historia.. lakin nitakufundisha kidogo. Mwarabu ndo Mtawala wa kwanza kabla ya Mzungu kuja Africa... alivyokuwa anatawala alijenga shule gani? Kama alikuwa anachukua rasilimali zetu kama dhahabu,almas,pembe za ndovu kwa wingi miaka na miaka zaidi ya miaka 200 nk yeye alirudisha nini kwenye jamii? Kwamba akijenga ni msaada au anarudisha kidogo ya alichochukua? Hebu ustaaz mtetea waarabu niambie hapo!
 
We ndo una uelewa mdogo kabisa!! Ni wapi uliona walitawala zaidi ya Zanzibar Kuna tofauti ya kuwahi kufika na kutawala .

Kutawala ni fully administration system je niambie ukiachana na mfumo wa sultani kule zanzibar hapa bongo walitawala kwa mfumo upi?

Wakiwa wenzio wanasoma unangoja mtihani uvuje ndo tatizo lako..

Waliwahi kufika sio kutawala kuwa na akili ...
 

Kilwa haipo Tanzania? Je sultani hajawai kutawala dola ya kilwa ?

Pia Zanzibar je mwarabu alijenga shule gani? Ama zanzibar napo mwarabu hajawai tawala?
 

Kwenye swali la hii hoja zanzibar napo imetajwa.

Unaruhusiwa kujibu kuhusu shule za sekondari ambazo mwarabu alijenga zanzibar.

Zitaje majina
 
Sasa kiongoz mbna Mataifa ya kiaraabu ndo wataalam sana wa mambo kama ya Tiba, uhandisi na Biochemistry
 
Waarabu walitawala pwani yote ya Africa mashariki kuanzia Lamu, Mombasa,Tanga,Bagamoyo, Kilwa nk.. Kutawala maana yake nini, ni kusimamia mifumo yote ya kijamii na kiuchumi na kuwa na jeshi pia, haijalishi hilo jeshi ni dhaifu. Sasa hapo unabisha nini? Ili mradi isionekane mwarabu alitawala lakin hakujenga shule?😂😂
 
Kilwa haipo Tanzania? Je sultani hajawai kutawala dola ya kilwa ?

Pia Zanzibar je mwarabu alijenga shule gani? Ama zanzibar napo mwarabu hajawai tawala?
Ndo nikuulize wewe ? Kwamba kilwa walitawala wapi zaidi ya kuwa na makazi yao ebu fuatilia historia wale walikuwa ni wafanya biashara na walikuwa na trade route tu ..
 
Kwenye swali la hii hoja zanzibar napo imetajwa.

Unaruhusiwa kujibu kuhusu shule za sekondari ambazo mwarabu alijenga zanzibar.

Zitaje majina
Waulize wanzibar kule wamekaa kwani mi mzanzibar ile ni nch yao wakikutajia utasemaje? Sio Tanzania acha kujifanya mzungu kisa mkristo zaidi ya kuwa mpumbavu tu mweny ngozi nyeusi..

Rejea kichwa cha mada
 
Waulize wanzibar kule wamekaa kwani mi mzanzibar ile ni nch yao wakikutajia utasemaje? Sio Tanzania acha kujifanya mzungu kisa mkristo zaidi ya kuwa mpumbavu tu mweny ngozi nyeusi..

Rejea kichwa cha mada

Nakuuliza mwarabu alijenga shule gani ya sekondari zanzibar.

Mambo ya kujifanya mzungu, mkristo, mpumbavu yanaingiaje ?

Hoja ya hii topic ni majina ya shule za sekondari ambazo mwarabu alizijenga zanzibar ama tanganyika enzi za utawala wake.

Acha matusi shiriki topic kwa kutaja majina ya shule ambazo mwarabu alizijenga zanzibar

Kutaja majina ya shule tu ni jambo la kukufanya ukasirike?
 
Unalazimisha kwamba wajenge shule ya elimu yako wewe.

Je ukiambiwa walikuwa na elimu yao ya madrasa sio ya mzungu utakubali maana ni watawala tofauti?

Kwa nn unavutia kwako? Elewa watawala tofauti Wana idea tofauti.

W
 
Unalazimisha kwamba wajenge shule ya elimu yako wewe.

Je ukiambiwa walikuwa na elimu yao ya madrasa sio ya mzungu utakubali maana ni watawala tofauti?

Kwa nn unavutia kwako? Elewa watawala tofauti Wana idea tofauti.

W

Waarabu kwao hawana shule za sekondari ?

Waarabu kwao hawana shule zinazofundisha masomo ya sekondari kama physics, chemistry, biology etc ?

Nitajie majina ya Shule ambazo zinazofundisha hayo masomo ambazo waarabu walizijenga Tanganyika na zanzibar ?

Sema kama waarabu Walikuwa hawataki na sisi tusome hayo masomo ama nini ?
 
Kwa hyo kupitia kiarabu watu hawawezi kusoma hayo masomo mbona mi nimesoma level ya msingi kabla kuanza darasa la kwanza hisabati na mambo ya biology kwa kiarabu kupitia madrasa?

Mbona tumesoma Sana hayo mambo madrasa hata baadhi ya Aya zinaeleza mifumo ya uzazi na baadhi ya tiba kama "kupiga chuku" ili kuondoa damu mbaya.

Kwa akili yako katika utawala wa mwarabu kwamba shule ziitwe "school'" na wafundishwe kingereza 🤔🤔

We wakuja nn? Mbona hauna ufahamu kabisa wa mambo je waarabu wanasoma kingereza huko shule kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…