Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

Habari wadau.

Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni

Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Ilboru, pugu, mazengo, forodhani, etc

Je ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni waarabu?

Maana waarabu walitangulia kuja tanganyika na zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja
Waarabu hawa kujenga shule ila tunapata faida kutoka kwenye magofu yao ya kaole bwagamoyo na mji mkongwe Zanzibar na kuingineno watalii wanachangia pesa nyingi sana kupitia magofu hayo ya kilwa nk

Wazungu walijenga shule ambazo kabwela uwezi soma shule hizo walio soma shule hizo ndio walio kuwa vibaraka wao mpaka kesho
 
Sasa una elimu ambayo ni ustaarabu wa kimagharibi hamna cha maana...Wao wanajielewa hawakopi ovyo kama nyie wana elimu zao Wana maisha Bomba hata maendeleo makubwa.

We Tanzania one unajiproud na nn ? Zaidi ya kuwa mjinga .

Dunia nzima Africa ndo tunafuata elimu za wazungu coz bado hatujiwezi nenda Korea, china ,Iran Wana mifumo yao tofauti na elimu zao hata kiteknolojia wako juu.
Hujui usemalo. Mbona wasaudia ni mojawapo ya wanafunzi wa kimataifa wanaongoza kuwa na wanafunzi wengi kwenye vyuo vikuu vya Kanada na Marekani. Sijui Ulaya
 
Kuna sehemu moja huwa inaitwa "Maskati" sijui kama kuna shule kule ila hao jamaa wamekaa kule kinachonishangaza kule ni bushi kichizi ilikuaje miamba wakakaa huko
 
Waarabu hawa kujenga shule ila tunapata faida kutoka kwenye magofu yao ya kaole bwagamoyo na mji mkongwe Zanzibar na kuingineno watalii wanachangia pesa nyingi sana kupitia magofu hayo ya kilwa nk

Wazungu walijenga shule ambazo kabwela uwezi soma shule hizo walio soma shule hizo ndio walio kuwa vibalaka wao mpaka kesho

Kikwete ni muislamu ila amesoma shule za kanisa.

Mzee Makamba ni muislamu ila amesoma shule za kanisa
 
Hujui usemalo. Mbona wasaudia ni mojawapo ya wanafunzi wa kimataifa wanaongoza kuwa na wanafunzi wengi kwenye vyuo vikuu vya Kanada na Marekani. Sijui Ulaya
🤣🤣🤣Wewe elimu yako na wanaosoma international school hapa bongo mnafanana?

👉Wewe mbongo ulipewa robo ya elimu ndo ukarithi sio international Kaa utulie hamna unalojua.

👉Wewe na elimu wanaosoma USA mnafanana ?

👉Mtafute mtu akupe moja mbili tatu ya elimu yetu ndo utaelewa iko tofauti kabisa wazungu walituachi kidogo na tukapreserve mpaka leo.
 
Habari wadau.

Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni

Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Ilboru, pugu, mazengo, forodhani, etc

Je ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni waarabu?

Maana waarabu walitangulia kuja tanganyika na zanzibar kwa kwa miaka zaidi ya 500 kabla wakoloni wazungu hawajaja
Mkuu wewe hupendi amani et? Au umewaza nini mpaka unakuja jambo hili😁😁😁😁
 
🤣🤣🤣Wewe elimu yako na wanaosoma international school hapa bongo mnafanana?

👉Wewe mbongo ulipewa robo ya elimu ndo ukarithi sio international Kaa utulie hamna unalojua.

👉Wewe na elimu wanaosoma USA mnafanana ?

👉Mtafute mtu akupe moja mbili tatu ya elimu yetu ndo utaelewa iko tofauti kabisa wazungu walituachi kidogo na tukapreserve mpaka leo.
Kwani unanijua vizuri na niko wapi? Suppose nimesoma na naishi huko mwanangu? Jifunze kuunganisha mdomo na ubongo wako kabla ya kuandika
 
Mwarabu na shule wapi na wapi?

Yeye anakitabu chake kimoja ukishakikariri tayari kimekamilika na itakuwa umeeleea hesabu zote kuanzia hisabati, mathematics, additional mathematics, basic applied mathematics,pure mathematics, physic,chemistry, biology , finance, law , engineering nk. Hawahitaji madrasa ya kawaida Wala viti vya kukaa
Umesahau na uchawi ulio ambatana na majini
 
Mwarabu na shule wapi na wapi?

Yeye anakitabu chake kimoja ukishakikariri tayari kimekamilika na itakuwa umeeleea hesabu zote kuanzia hisabati, mathematics, additional mathematics, basic applied mathematics,pure mathematics, physic,chemistry, biology , finance, law , engineering nk. Hawahitaji madrasa ya kawaida Wala viti vya kukaa
Soma chemistry kwa nini imeitwa chemistry,hiyo ni taaluma iliyoanzishwa na mwarabu Kama ilivyo kwa aljebra,msome ibn Sina ujue alifanya nini!?..elimu imeanzia mashariki ya kati, Syria na Iraq,mwarabu hakuja kutawala/kufanya ukoloni hasa kwa Tanganyika,lakini,mzungu alikuja kutawala akitafuta malighafi,alihitaji matarishi wa kuwatuma,hivyo ilibidi ajenge shule ili ujifunze namna afanyavyo kazi,hakuna na lengo jingine,lakini hospitali ya ocean road ilikua shule
 
Back
Top Bottom