Ni siku zipi mwanamke anashika Mimba baada ya kutoka hedhi?

Ni siku zipi mwanamke anashika Mimba baada ya kutoka hedhi?

brave Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
247
Reaction score
135
Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
 
Umejipanga au utakuja hapa kuomba utumiwe pesa za kulea mjamzito?
 
Mimba ikiisha ingia wanawake wanaishikaga wakati wote
 
Inategemea na mzunguko wake mkuu kama ni wa siku 21 ama 28
 
Back
Top Bottom