brave Mwafrika JF-Expert Member Joined May 2, 2019 Posts 247 Reaction score 135 Jun 2, 2022 #1 Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari?
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,904 Reaction score 9,342 Jun 2, 2022 #2 Umejipanga au utakuja hapa kuomba utumiwe pesa za kulea mjamzito?
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jun 2, 2022 #3 Mimba ikiisha ingia wanawake wanaishikaga wakati wote
T Tuchki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 1,740 Reaction score 1,444 Jun 2, 2022 #4 Inategemea na mzunguko wake mkuu kama ni wa siku 21 ama 28
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,323 Reaction score 12,594 Jun 2, 2022 #5 brave Mwafrika said: Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari? Click to expand... Kijana wewe endelea kuchakata mbususu tuu. Masuala ya mimba utajuana nauo mbeleni huko ikiingia
brave Mwafrika said: Naomba kujua ni siku zipi mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kutoka kwenye siku zake za hatari? Click to expand... Kijana wewe endelea kuchakata mbususu tuu. Masuala ya mimba utajuana nauo mbeleni huko ikiingia
mens12 Member Joined Apr 8, 2022 Posts 69 Reaction score 143 Jun 4, 2022 #6 Karanga Lawfirm said: Cheki hio table View attachment 2249711View attachment 2249712 Click to expand... Chati ya kwanza ipo vizuri zaidi. Hiyo siku ya 14 inauwezekano wakupata mtoto wa kiume
Karanga Lawfirm said: Cheki hio table View attachment 2249711View attachment 2249712 Click to expand... Chati ya kwanza ipo vizuri zaidi. Hiyo siku ya 14 inauwezekano wakupata mtoto wa kiume