Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Nimecheki mwenyewe site ya TCL

"Google TV has been quietly developing over the last couple of years. It was officially announced this year, however, that many Android TV sets will be getting an upgrade to this new platform.



In reality, Google TV is a new and upgraded interface that sits on top of the Android platform. Android will maintain its role as an effective operating system whilst Google TV becomes the front-facing element for your TV"

Hata wenyewe TCl wanaongea same issue kwamba ni interface, Android ni ile ile.
 
Sawa lakini tofauti ipo ingawa sio kubwa
 
Sawa basi ndio maana nikijaribu kutumia hiyo link niliyoiweka inaniletea hivi
 
Sawa basi ndio maana nikijaribu kutumia hiyo link niliyoiweka inaniletea hiviView attachment 2501146
Ni TCL ya India hio page, halafu kaandika 2022.

Hii TCL Australia

 
Mzee unachekesha sana,zile bei kweny LG au Samsung hazijawekwa kwa bahati mbaya,,alafu utafananisha Panel ya Lg na hisence? Kweny tv tunaangalia vitu vingi vya msingi kuliko unavyo dhani ww,vitu kama viewing angle, picture engine, display technology, black level, contrast level, brightness,mambo kama HDR , refresh rate, hizi TV za bei rahis huwezi pata haya mambo kirahis,hta hyo hisence ikishakua imekamilika kila idara hauwez kuta iko cheap,yani ufananishe panel za OLED na hizo brands za kariakoo? Au Nanocel za Lg utaweka na hisence gani? [emoji23] Vipi Quantum ya Samsung utataka iwe sawa na Hizo cheapest brands?

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Taratibu mzee budget ndo znatupeleka huko mkuu ndio maana ata kwenye simu kuna tunaoishia kwenye midrange tu flagship zinakua zamotoo.
 
Taratibu mzee budget ndo znatupeleka huko mkuu ndio maana ata kwenye simu kuna tunaoishia kwenye midrange tu flagship zinakua zamotoo.
Sasa mtu anasema LG, Samsung ni overpriced tu,badala aseme kma huna hela Bora hisence yeye anakazia overpriced [emoji1]kwamba hakuna cha ziada

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Ungeifuatilia vizuri hii thread usingekuja kunieleza haya mambo sasahivi[emoji2960][emoji2960]
Anyway, nilishaelewa hilo suala toka muda sana kupitia posts za watu za kitambo tu kwenye hii thread, tena walinielewesha kwa lugha ya kistaarabu kuliko uliyoitumia wewe na niliwaelewa vizuri sana.
Sasahivi nimehama huko naendelea kujifunza mambo mengine zaidi kwenye TV kupitia hiihii thread
Kama ulikuwa unataka ubishi basi pole maana mimi sina tabia ya kukaza fuvu kwenye mambo nisiyoyajua, nilishaeleweshwa, nikaelewa na nikakubali.
Acha niendelee kusoma posts za watu wengine zenye mambo mapya, ya maana na ambayo siyajui. Huko nilishatoka kitambo[emoji38][emoji38]
 
Lugha yako yakubeza brands kubwa ndio imefanya nikujibu hivyo,hukuonyesha chembe ya kutaka kujifunza ,mimi nawajibu watu vizuri humu jukwaani, anyways nafurahi kuona sasa umeelewa unyama wa hizi brand kubwa.., enjoy [emoji1]

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Nanocell ni uchafu mwingine huu! Nenda showroom uziangalie contrast yao na blooming ilivyo mbaya! Hapa LG wanauzia jina tu. Hisense pia wanatumia panel zenye Quantum dot na bei zao ukilinganisha na samsung qled ni tofauti hata ya laki 5. Hizi brand kubwa kwa % kubwa ni overpriced hilo wala usibishe. Ukiacha LG oled hizi tv zao nyingine ni za kawaida sana
 
Hapa kuna nanocel inchez 55 huwez fananisha na hizo hisence,Nimesema hizo bei hazipo kwa bahati mbaya,hizo ni budget TV tu dont expect more mkuu,mdau hapo juu alitaka sema hakuna cha ziada zaidi ya hype tu kitu ambacho sio cha kweli.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Ipi ni the best material na yenye ubora na quality kati ya hizo hapo chini
LCD
QLED
LED
Nanocell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…