Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Umetisha sana, ni ushauri ambao hata mimi nimeuchukua
 
Nilikuwa sokoni kutafuta tv ya 55',hiyo nanocell weka side by side na hisense uled ndio utajua lg wanauzia jina.
Soma comparison ya lg qned vs hisense u8
Uone lg anavyoachwa mbali
 
Wala usinunue hii crappy,Rtings walipost review YouTube,kawaskilize na comments pia kazisome... ndiomana nakwambia zile bei za brand kubwa hazipo kama hype .

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Hiyo hisense nishachukua u7h QLED, Lg TV amabazo si OLED hamna kitu. Kumbuka QNED ni Nanocel+Quantum dot kutoka LG. Nilifanya comparison pia na samsung Q70B na tofauti haikuwa kubwa sana. Tofauti ya bei ni karibu laki 5.
 
Brand comes first

Brand matters

Tatizo tunatumia umasikini wetu kudowngrade hizo brand kubwa..kumbuka hazikufika hapo bahati mbaya

Tukubali tu…SONY,LG,SAMSUNG is the best

Quality,technology and durability and value for money

Mkuu agiza chochote
Nakuja kulipa!
 
Hakuna aliyekataa ila hapo kwenye value for money hebu nishushe kidogo[emoji2960][emoji2960]

Unaelewa maana ya value for money? Lazima utagusa aspects za risk, je hizo brand unazotetea na global brand ipi ina risk zaidi, anzia kwenye warranty na fidia inapopata tatizo!

Say Cocacola & Pepsi Vs Azamcola
Sony & Lg vs Boss
Samsung & Iphone vs Tecno

Haya mambo ni ya kitaalamu aisee, global brand zitasimama tu .. hii haiondoi haki na furaha ya yule anayetumia TV yoyote as far as inampa anachotaka!
 
Hiyo hisense nishachukua u7h QLED, Lg TV amabazo si OLED hamna kitu. Kumbuka QNED ni Nanocel+Quantum dot kutoka LG. Nilifanya comparison pia na samsung Q70B na tofauti haikuwa kubwa sana. Tofauti ya bei ni karibu laki 5.
Naona wewe ni mdau wa Hisense kindaki ndaki,Kiasi kwamba unaona Lg, Sony, Samsung,wote vibua tu..acha nikuache na msimamo wako mzee Wa Hisense [emoji1]

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Brand comes first

Brand matters

Tatizo tunatumia umasikini wetu kudowngrade hizo brand kubwa..kumbuka hazikufika hapo bahati mbaya

Tukubali tu…SONY,LG,SAMSUNG is the best

Quality,technology and durability and value for money
Definitely .

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Huyu naye anakuja kuniambia ushuzi gani tena [emoji38][emoji38]
 
Naona wewe ni mdau wa Hisense kindaki ndaki,Kiasi kwamba unaona Lg, Sony, Samsung,wote vibua tu..acha nikuache na msimamo wako mzee Wa Hisense [emoji1]

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
No mimi siyo mdau wa brand fulani, huwa naangalia quality na pia value of money. Fridge nina LG, microwave LG, TV yangu ya kwanza ilikuwa samsung 32'", so mimi siko loyal kuchukua brand kwa sababu ya jina, naangalia ubora wa kitu.
 
Wala usinunue hii crappy,Rtings walipost review YouTube,kawaskilize na comments pia kazisome... ndiomana nakwambia zile bei za brand kubwa hazipo kama hype .

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app

Kweli kabisa brand haikufika hapo kwa bahati mbaya

Watakwambia pia Mercides Benz is overated[emoji28]
Apple products n.k

Narudia tena Cheap is expensive

Umasikini wetu tusidown-grade big brands
 
Kabisa mkuu,tunatumia umaskini wetu kuzipiga maneno brand kubwa kua hazina kitu cha zaidi [emoji23][emoji23],Sasa leo huu mchina wa Hisense watu wanataka kuufanya nizaid ya LG, Sony, Samsung,ViZio [emoji23][emoji23]

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Nina smart TV ya alitop nyuma ina kitu kama antenna kazi yake ni nini wakuu?
 
Hisense baada ya matumizi say ya kuanzia miaka miwili huwa zinatabia ya kufubaa kioo. Yaani kioo kinapoteza mng'ao wake na kutoa picha ya kawaida sasa kwa tunaothamini ubora huwa tunakosa uzingizi kabisa kwenye hilo swala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…