Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Ubora wa kioo upi?

Kwani hata kwenye simu si bora unaweza kupiga na kuongea na kutuma meseji na kuchat WhatsApp nk, kuna la ziada? Sasa kama tecno na Samsung wanafanya hivyo vyote tofauti iko wapi?

Ukielewa hoja yangu hapo juu hope hutarudia kutoa hoja za hovyo tena.
 
Ni bajeti yako tu mkuu

Wale wachovu wenzangu wanakwenda na Boss, StarX
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu wa Tecno, Itel, infinix

Wale wa uchumi wa kati wanakwenda na Hisense, TLC
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu za Oppo Xiaomi nk

Wale wanaojiweza wanakwenda na Sony LG Samsung
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu za Samsung iPhone nk
 
Nilichojifunza hapa ni kwamba LG wapo vizuri lakini hawana kelele brand yao inajiuza yenyewe.
 
Hii comments imemaliza, Hisense hamna kitu pale aisee upande wa TV only Sony na LG, Samsung nao almost jina tuu, TCL ni brand ya kichina Ila ya kibabe Sana.
 
Sio kweli, Fanya weka channel moja ziweke pamoja utaona kitu fulani hapo picha ndio linaanza
 
Wewe unajua TV
 
Umetoa muongozo vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…