Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Mmh we nae uwezo wako wa kufikiri ume ishia apo ?
 
Mimi naona umezingua yes..Ungepiga chini kimya kimya tu. Hapo umempa point 3 za kuonyesha kati yenu nani alikua anamihitaji zaid mwenzake na hiyo ndio aliyeumia. Na ni wewe. Na kajua.
 
hii ni janja ya sungura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kubali yaishe hasa baada ya kuliwa hela na pussy hujapewa. Hizi drama nyingine achana nazo li msg lirefu ukidhani ataumia hana huo muda. Wote tulishapita huko hayo yakatuumiza kwa hiyo hauko peke yako.

Move on, kuna amani kubwa kukubali umepigwa na mambo yaendelee huku ukiwa umeshapata somo namna ya kuyaendea mambo.
 
Umekosea kumtumia text ndefu kiasi hicho ungempiga chini short and clear au ungemtema kimya kimya tu anyway shikilia hapo hapo akijishusha na wewe ukaingiwa na huruma ukarudisha majeshi she will see you as a pawn.
 
Mtoa mada ana hasira za kukosa πŸ˜‚πŸ˜‚anatafuta pa kupoozea machungu huyo…
Na atachelewa sana kumsahau huyo binti.

Malegend uwa wana move on kimya kimya, siku ukijichanganya kurudi unakutana na block 🧱
Na hiyo block itamuuma sana....
 
pole kwa kunyanyasika
 
Too low
 
Wanaume huwa hatuandiki meseji ya kuachana na wanawake huwa tunawaacha kimyakimya wao wenyewe wanatambua hapa nimeshaachwa

Kuandika meseji namna hiyo ni uvulana inaonyesha umeumia kumpoteza hii ni shobo unaonekana you're so needy to her, ficha hii kitu kwa manzi yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…