Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Mbona mimi naona wewe ndio narcissist, vijana hadi mje mjipate mtakuwa mmeteseka sana kwenye mapenzi, tatizo ego zenu hazitaki kukubali kuwa mwanamke ana uhuru wa kuchagua, kuacha na kuchagua kingine.

Hata sisi hadi tumefikia hapa kuwa mashangazi tushatukanwa sana, being bullied, calling names, kuna muda hadi mtu anakuwinda akukate mitama 😂😂😂😂 Wengine tumekuwa katika mitaa ambayo ilikuwa na wababe na wakora.
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Mwanaume timamu na aliekomaa hajibizani na mwanamke
 
Mwanangu humu unaweza ukaandika kitu kizuri tu ila kisipowapendeza wanawake kuna wanaume humu ambao mimi huwaita MALEFEE, Hawa ni wanaume ambao mbele ya pisi huwaambii kitu wanaweza hata kukupinga au kufanya sifa yoyote kwa njia yoyote ili wapendwe na madem.
Always nakuwaga upended wa wanaume ila hapa jamaa kazingua usimtetee, hakuna cha maana kuna Principles nyingi za Masculinity kazivunja na ku SIMP sana
 
Sijui nna mind-set ya kiwaki, au sijui ni vipi, nikiona mdada kasoma pure Science afu anadate na jamaa wa Arts au social namdharau mara 1.

Labdaa jamaa wa pure science adate na mdada wa arts au social. Kwa wee OP huyo hata Co level zako, ungetafuta walimu wenzio huko.

Dr wa baadae awe na mwalimu? Hell no.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa umechunwa na kipochi manyoya hujalaa. Poleee we.
Uwalimu sio Arts tu, wapi uliambiwa hiki kuwa unlimited ni Arts tu
 
Always nakuwaga upended wa wanaume ila hapa jamaa kazingua usimtetee, hakuna cha maana kuna Principles nyingi za Masculinity kazivunja na ku SIMP sana
Sasa mkuu ungekuwa unazijua ungeenda dm umuelekeze sio kumkataa mshkaji mbele ya UMMA ambao hata hao ladies wanaona.
 
Kwahiyo hata mtu akiandika upumbavu so long amewasema wanawake ndio wanaume wote wamsupport?
Ndiyo, Sheria za kiuanaume tunam-support mwenzetu hadharani alafu chimbo tunampa makavu.... Me siwezi kujifanya better kiasi nimkatae mwanaume mwenzangu mbele ya pichu hata kama hayupo sahihi ili nionekane bora.
 
Sasa mkuu ungekuwa unazijua ungeenda dm umuelekeze sio kumkataa mshkaji mbele ya UMMA ambao hata hao ladies wanaona.
Kwenye Mapenzi SIMP inabidi ajifunze kwanjia ngumu ukimpetipeti atadeka.
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
We mwamba kaka 🙌🙌🙌👊👊👊👊👊👊👊
 
Back
Top Bottom