Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Jamaa Mwamba ??? Kivipi
Amemchana duu ukweli ule ambao wengi huwa wanaficha ficha...

"" Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,*"""
 
Feminist anapewa ushauri endapo sio mpenzi wako ila kama ni feist pending mwako unamwaga bila kumwambia sababu nini pia hata akiwa na shida nyengine jeuri, One side communication haitakiwi kusema nimekuacha kwasababu hiki wewe muache tu kwa kupinguza Attention.

Kwa attempt hio demu ni winner jamaa ni looser
 
""Kwa attempt hio demu ni winner jamaa ni looser""

I
inamana jamaa hapa hakutakiwa kujibu angepotezea au..
Jua pia huyo aliye mtumia ujumbe umemfika kunako amini kwamba
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
SMS yako imejaa utoto mwingi na MAUMIVU mengi sana, ungeniuliza ushaurio kabla ya kutuma huu ujinga. Umempa points za bure
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Simlaumu huyo mwanamke....msela wetu wewe unaonekana hata approach yako kwa huyo demu ilikuwa hivyo hivyo
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Ujinga huu utagharimu wengi. Kwanza unatudanganya, wewe ni kijana uliyebalehe juzi tu unayejaribu kuleta illusions zako za mapenzi. Pili kumtafiti mtu bila consent ni kosa la kimaadili katika utafiti, na muhusika aweza kukuchukulia hatua. Acheni ujinga, si kila kitu ni cha kuandika. Mambo yenu yalikuwa faragha, yanapaswa kuendelea kuwa hivyo.
 
Yes, meseji imejaa utoto sana na maumivu mengi, kwa kiswahili tunasema MANENO YA MKOSAJI
Short, text nzima inaonesha SYMPATHY na EMOTIONS mwanaume hatakiwi kuonesha EMOTIONS hata kwa bahati mbaya hasa kwa mwanamke ambae ajakueleqa kwenye mahusiano, hapo unaonesha udhaifu.

Jamaa akionana na hao wadada njiani lazima aoneshewe vidole
 
Kuweni na akiba ya maneno mnapotoswa. Hawa viumbe uwa wanajirudi muda ukienda. Sasa wewe unatoa mipasho siku akiwa mama wa watoto wako akisoma hiyo sms anagawa nje

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Duh nimecheka
Unajua Kuna Moja ya ex zangu
Tulikuwa tukizinguana naandika sms ndefu ,naongea weee, ye hajibu ht Moja!
Kwanza hapendi!

Siku tukipatana ananiambia ,na mi ningekujibu ingekuwaje?😆
Akaniambia huwa sikujibu sbb sijui future yangu nitaishia kuwa na nani!
 
Short, text nzima inaonesha SYMPATHY na EMOTIONS mwanaume hatakiwi kuonesha EMOTIONS hata kwa bahati mbaya hasa kwa mwanamke ambae ajakueleqa kwenye mahusiano, hapo unaonesha udhaifu.

Jamaa akionana na hao wadada njiani lazima aoneshewe vidole
angeuliza kwanza kabla ya kutuma huu ujinga wake, ametudhalilisha sana sana
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Umetuangusha sana mda wote huo hujakula tunda??? Ndio maana alikuwa anakuletea drama
 
Mentor hebu njoo uone huu utopolo. This was somebody I know a year ago. Childish! Egoistic! Narcissistic! Sadistic! Misogynistic! Pathetic!

Thank you super mentor for all you do to help those who need your angelic touch!

We cherish and appreciate you 🙏🏿🙏🏿🙏🏿😘😘😘
Hahaaaa
 
Ndiyo, Sheria za kiuanaume tunam-support mwenzetu hadharani alafu chimbo tunampa makavu.... Me siwezi kujifanya better kiasi nimkatae mwanaume mwenzangu mbele ya pichu hata kama hayupo sahihi ili nionekane bora.
Sheria ya wapi hiyo? Ukimuona chizi kashika jiwe na wewe ukashika wote mnaonekana machizi. Better kujitenga
 
Back
Top Bottom