Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Ukitaka aumie usijibu sms zake hata akuite kichwa funza usimjibu
 
Ok, summary iko hivi;

[emoji117]Text uliotuma ni ndefu mno[emoji1782]

[emoji117]Kala hela zako[emoji1782]

[emoji117]Hujala mbususu [emoji1782]

Conclusion,

Professional ethics 0 - clinical officer 3

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Naona dem kakusoma toka ulivomtongoza kakuona ww ni zoba sana tena kwa text hio amekudharau mara 100 zaidi
 
Gazeti la nini mkuu?mwanaume ukiona huwezi cheza hilo goma unajikata zako hakuna muda wa mipasho.Nichoshe akili zangu kwa mtu niliyekuwa namhudumia! Ni kosa kubwa
 
Eti, you narcissistic girl[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama fala vile
Anyway pole sana mkuu na hongera kwa research.
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Nataka kusema mapenzi haya muongozo wa menu.

Wanaume wengi wanao kukejeli ni washamba na watoto wao sio wewe. Wangekua na itikadi za kiume wangesapoti na kukupa mbinu za kumla huyo mbuzi.

Ila kwa kuwa wengi humu hujiona ni wanaume ila wengi mi naona ni wavaa vijora tu japo wanashep za kiume.

Mwanaume yupo radhi akudhamini chochote kile umle demu ila sio pesa ya chakula . Watu tumeazimana hadi nguo ili kuhakikisha ushindi unarudi nyumbani na sio kujiside na upende wa madem kama wengi wa humu wanavyo kukataa mwana badala ya kukupa mbinu kwamba umekwama unahitaji msaada. Ila badala wakusaidie wao wanaungana na matope kuendelea kukukwamisha .

Ushauri
Hakikisha haumjibu chochote wala kumatafuta tena kwa namna yoyote ile labda miaka kadhaa huko mbele napo aje akutafute yeye. Na akikupata iwe kwa mbinde sana. Futa kila kitu chake usiache hata memory moja. Ukijishusha hapo mateso yatazidi zaidi ya haya
 
Mtu kama huyu anahitimu shahada ya Ualimu kisha kuja kufundisha mtoto wako? Sawa
 
Nyerere nae alikuwa na uwezo mdogo wakufikiri? Kassim majaliwa anauwezo mdogo wakufikiri? Dotto biteko anauwezo mdogo wakufikiri? Usikalili mkuu
 
Uyo dada ni mwenyekiti wetu mpk sasa ivi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume anatoa ushauri kwa feminist [emoji23][emoji23]
Itoshe kusema mleta mada ni mvulana sana sana miaka kumi na tisa au ishirini

Walimu bana [emoji23][emoji23],never disappoint
Si kila anayesomea Ualimu kipindi hiki ana sifa ya kuwa Mwalimu, Kuna sababu nyingi, hata hivyo huyo ndiyo kwanza alikuwa anasomea huo Ualimu.

Kwa wale tuliosoma kabla ya Shule za Kata kuanzishwa Walimu kwetu walikuwa ni Wazazi kabisa, tulikuwa tunafaulu kwenda Shule za mbali sana na hawa Walimu walitulea vizuri mno.

Kipindi hicho hakuna mawasiliano ya simu zaidi ya huduma za Barua ambazo zilikuwa zinachelewa mno ukimwandikia Mzazi hasa kutokana na Miundombinu mibovu ya kipindi hicho, kuna Barua unamwandikia Mzazi, anaipata kipindi cha Likizo na wewe ukiwepo ukizingatia hata Anuani tulizokuwa tunatumia ni za Taasisi.

Kipindi hicho kuna Wanafunzi walikuwa wanarudi kwao mara moja kwa Mwaka kutokana na kukosa nauli, wapo ambao walikuwa wanarudi baada ya kumaliza masomo yao.

Kipindi chote hicho tukiwa Shule, Walimu walitujali sana na kutulea kama Watoto wao, hata wale ambao hulazimika kubaki Shule kipindi cha Likizo bado nao walipata huduma sitahiki ingawaje kuna Kazi ndogondogo walikuwa wakifanya pale shuleni.

Binafsi siwezi kumdharau Mwalimu hata siku moja licha ya mapungufu ya Walimu wachache ambao hufanya makosa ya kibinadamu kama walivyo Binafamu wengine, kwani kuwa Mwalimu haimaanishi kwamba hatafanya makosa.
 
Nataka kusema mapenzi haya muongozo wa menu.

Wanaume wengi wanao kukejeli ni washamba na watoto wao sio wewe. Wangekua na itikadi za kiume wangesapoti na kukupa mbinu za kumla huyo mbuzi.

Ila kwa kuwa wengi humu hujiona ni wanaume ila wengi mi naona ni wavaa vijora tu japo wanashep za kiume.

Mwanaume yupo radhi akudhamini chochote kile umle demu ila sio pesa ya chakula . Watu tumeazimana hadi nguo ili kuhakikisha ushindi unarudi nyumbani na sio kujiside na upende wa madem kama wengi wa humu wanavyo kukataa mwana badala ya kukupa mbinu kwamba umekwama unahitaji msaada. Ila badala wakusaidie wao wanaungana na matope kuendelea kukukwamisha .

Ushauri
Hakikisha haumjibu chochote wala kumatafuta tena kwa namna yoyote ile labda miaka kadhaa huko mbele napo aje akutafute yeye. Na akikupata iwe kwa mbinde sana. Futa kila kitu chake usiache hata memory moja. Ukijishusha hapo mateso yatazidi zaidi ya haya
Naunga mkono hoja, Wanaume wengi tumepitia hayo ya kupigwa Pesa bila kupewa mzigo, Mimi binafsi Kuna mmoja alinipiga sana Pesa alafu akawa hatoi mzigo, wala sikutumia hasira, nilikata tu mawasiliano naye.

Baada ya miaka kadhaa tukakutana akajaa mwenyewe, ingawa nilikuwa bado nampenda lakini sikumuonesha wazi tena kama awali, matokeo yake akaanza kuumia zaidi yeye kuliko Mimi.
 
Back
Top Bottom