Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

Hongera Mwalimu, Ina bidi uwe awarded Masters of Education in Love Affairs.
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
😃😃😃kila binadamu ananamna yake ya kudeal na broken heart issues, wewe umeamua kujifariji kwa namna hii
 
Sizitaki mbichi hizi, mwanaume unaandikaje sms ndefu hivo kumchamba mwanamke?

Grow up man
inawezekana kalelewa na mama yake (japo sio wote wako hivi) na ni mtoto wa pekee kipenzi cha mama labda mdogo wake alifuata baadaye sana.
 
Mkuu! Usitumie hasira na kuanza kujibu Mwanamke kwa namna hasi pale unaponyimwa, inatakiwa ufanye utafiti kidogo wa nini sababu ya Mwanamke kukataa kwa wakati huo ingawa unampatia Pesa au huduma anazohitaji.

Kuna Wanawake wengine hawajawahi kushiriki hilo tendo hivyo huwa na woga wa namna ya kuanza, lakini wengine wana mapungufu katika maumbile yao hivyo huwawia vigumu sana kuvua nguo mpaka pale anapojihakikishia kuwa utakuwa msiri kwake na mwingine anakuwa ana mtu anayempenda kwa wakati huo hivyo inakuwa ngumu kukubali mwingine.

Binafsi kuna Wanawake kadhaa walinisumbua sana wakati wa ujana wangu, lakini kumbe sababu ilikuwa ni mapungufu katika maumbile na woga.

Kuna mmoja alikuwa ana Ki~nembe kirefu kiasi cha kuziba hadi njia pale, niligundua baadae sana baada ya kumuandalia mazingira na kulazimisha tendo, ni kama nilimbaka tu, alishindwa kuchomoka kutokana na Mazingira.

Mwingine alikuwa ana mapungufu naye alinisumbua kwa muda mrefu sana, sasa huyu ilikuwa wakati wa tendo anamwaga kojo la kutosha, tena zaidi ya mara moja, kwa hiyo hiyo siku ukiwa naye inabidi mashuka yafuliwe, na godoro lianikwe maana si kwa Maji yale.

Huyu wa tatu yeye alikuwa Bado mbichi kabisa, yaani Mimi ndiye niliyefungua njia, sasa wakati ananizungusha Mimi sikutumia hasira, nilihisi huenda ana Mwanaume mwingine, nilifanya uchunguzi lakini sikugundua hilo, ndipo siku moja nilimwandalia mtego akajaa ndipo nilipogundua hilo.
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Umeua tayari uko
 
We dogo jau sana...ungekua karibu ulitakiwa ule makofi kadhaa.
Kulkua na haja gan ya kuandika hio sms ndeefu??
 
Wanawake watawanyoosha....

Mtachamba , tukana na kusogoa hapa JF lkn ukweli ni kwamba , wanaume mnateseka

Bado hamjasema
 
Degree ya Ualimu

Your don't deserve my worth?
Your narcissist girl?

Ni aibu kama unategemewa kufundisha watoto wa watu.
 
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa.

Sasa jana baada ya kuendelea kuonesha drama hii ni SMS yangu nimeyomtumia leo asubuhi je nipo Sahihi hapo.

"Sijawahi kukupenda Hilo tambua, hata pesa na vitu ulivyo kula Toka kwangu ilikuwa ni sehemu ya kufanya uwe sample tu mana nipo nafanya research Yangu juu ya mahusiano.

Licha ya uzuri wako unaosifiwa, sijawahi kuwa na hisia na we thus why kipindi chote cha mahusiano sikutaka ngono na wewe.

Your don't deserve my worth, your narcissist girl.

Ushauri wangu acha kuwa feminist itakusaidia sana umri unakwenda Kila siku angalia usije kosa wachumba kisa njaa na tabia za kisimbe,

Bye bye napeleka now report Yangu ya research Yangu juu ya mahusiano ulikuwa sample yangu nzuri sana"
Sore loser
 
Back
Top Bottom