Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

I appreciate that bro, je unapenda technology kuhusu nini 👉medicine, cars, food production au ipi??
 
Ngono zembe...hii kitu hata wakisema Yesu anarudi leo sitoboi.!!!
Kingine ni kupiga chabo, yaani napenda chabo jamani asikwambie mtu!
Yaani iwe chabo ya live au hata niambulie sauti tu(audio)
 
Sijui kama nitakuja kuacha kubishana Yanga na Simba! Yaani ninavyoipenda Yanga huwa sitaki mtu aiseme vibaya halafu mimi ninyamaze!
I mean no malice to nobody, keep enjoying unachopenda. Ila kuwa makini Kuna wengine wanabeba hadi mapanga😁😀
 
Hongera kwa starehe yako, ila kuhusu shule. Nakushauri uwekeze kwenye matangazo ya Kulipia ili kufikisha ujumbe kwa hadhira kubwa.
👉Mfano redioni na channel za tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…