Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

My father was a drinking lengend(rip) niliona madhara yake, so sitaki kuwa huko pia.
 
Mbali ya bingo ninavyovipenda, Huwa napenda zaidi kutembelea maeneo mapya yaani 'adventure". Nikiwa DSM napenda kuzunguka na gari yangu kutembelea maeneo ambayo sijawahi fika. Na baada ya kuzunguka na gari huamua kuchagua sehemu moja nzuri kupata msosi na kinywaji. Lakini zaidi napenda kusafiri kwenda mikoani (Kwa basi la abiria) ambako sijawahi fika na kulandalanda. Napenda kuona vitu na watu wapya.
Naweza nikaenda mkoa na kukaa siku 2 au 3 Kwa utalii binafsi wa ndani. Importantly Huwa nafurahia Ile freedom ya kufanya nitakacho ninapokuwa away from home
 
Na wasi wasi na hizi starehe zako.
Umeziandika kiujaunja mno.🀣🀣

Any way mawazo ya mtu hayapingwi.
Cool Pal'✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…