Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

Dah! Mpaka uzee huu! Sijui nani atakae nishauri niache kuangalia cartoon! Aisee ikitokea mtu kashika simu yangu akaingia gallary bahati mbaya hua najisikia aibu na kuzuga, watoto wanapenda kuchezea simu yangu sasa nimewawekea dawa zao[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati nashuka page hiyo pic ya pili nidhan watu wako kwenye bwawa wanaogelea kumbe pilipili sijui vitu gan duh [emoji482]

[emoji28][emoji28]pia mimi niliona kama wachina wanawake wanaogelea nikapuuza ila nilivyokutana na comment yako imebidi nirudi nikaangalie vizur kwa makin.. kumbe ni chakula bna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Napenda sana hizo chapati hapo uniwekee na maharage yalioungwa vizur yan yawe yamelainikaaa nadhani unanielewa
[emoji28][emoji28][emoji28] walaji njooni hapa
 
1. Adventure za Road Trip na Laaziz wangu huku mziki Laini wa Rhumba ukiwa unatusindikiza. Usishangae tukatoka Kigamboni kwenda kununua Mananasi Msoga ili tu tuinjoy ka usafiri ketu na Mvumo wa barabarani. Pangani, Tanga, Ikwiriri, Lindi zimeshakuwa trip pendwa
 
Kucheza Video games (Play station 3 na ile Pes ya kwenye PC ) toka niko form 1 hadi leo hii niko addicted kabisa haiwezi pita wiki au mwezi sijacheza..na sahivi nna advantage kwamba hio PS3 ninayo nyumban so hizi GTA V na PES ndio mambo yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…