Younguther
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 243
- 483
Habari zenu watanzania wenzangu na poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Mwaka jana mwezi dec nilibahatika kununua samsung s20+, baada ya kujikunja kwa muda mrefu kutokana na simu niliyokuwa natumia mwanzo(samsung s8) kuharibika betri. Lengo la kuandika uzi huu miezi miwili iliyopita nilipata mshutuko baada ya simu yangu ghafla kujitokeza mstari wa kijani kweny kioo mbaya zaidi sikuiangusha wala kuiingiza kwenye maji. Nikajaribu kupiga simu sehemu niliyonunulia kwa kuwa ilikuwa ndani ya warranty wakanijibu"warranty yao haihusishi vioo" nikapotezea.
Lakini baada ya kufanya tafiti zangu mitandaoni nimekutana na watu wengi duniani wakilalamikia hilo suala kwenye simu zao hasa samsung s series baada ya kumaliza kufanya update za software zilijitokeza mistari kama issues ya kwangu(global issue). Sasa kwa simu flag ship kama hizi ambazo zinabeba jina la kampuni haiwezi kuleta kashfa na sura mbaya kwa samsung, je kuna mwingine kashawahi kupata tatizo kama la kwangu?