Kuna raia zinatumia simu kipiga na kupokea tu hazijui matumiz mengine ya simu ndio maana anaonana zinafananaZpo tofaut mkuu kama dex,wireless power sharing halafu pia hauwez kufananisha processor ya exynos ya kweny a 54 na qualcomm snapdragon ya kweny s series, huwez kurecord video ya 8k resolution kweny a54(performance kwa ujumla ni tofaut pia)