Younguther
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 243
- 483
- Thread starter
- #61
Tatzo uchumi hauruhusu mkuuNunua mpya, kwa mawakala wanaotambulika na Samsung, achana na refurbished
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatzo uchumi hauruhusu mkuuNunua mpya, kwa mawakala wanaotambulika na Samsung, achana na refurbished
Ni bora mara 100 kununua midrange mpya kwa hiyo bei, kuliko kununua used flagship ambayo hauna uhakika kama itadumu ama itaharibika kwa muda mfupi..Tatzo uchumi hauruhusu mkuu
Functionality broh, kuna tuvitu tunavifuata kweny hzo flagship ambavyo kweny midrange phone utavikosaNi bora mara 100 kununua midrange mpya kwa hiyo bei, kuliko kununua used flagship ambayo hauna uhakika kama itadumu ama itaharibika kwa muda mfupi..
Unanunua refurbished alafu unakuja JF kutusumbua l.Tatzo uchumi hauruhusu mkuu
Samsung haitumii OLED display kwenye S series.Kuna wanaosema hiv vioo vya OLED vilivyopo kwenye simu za samsung hasa s series kuanzia 20 na kuendelea vikipokea software update huwa simu inapata joto ambalo vioo vinashindwa kuhimili hivyo kupelekea hili tatizo la vertcal green lines
Sii kwel, kuna mawili, it's either ulipigwa au ulikua hujui unachofanyaS20 + simu ovyo sana.nilinunua hiyo simu niajuta maana ilikuwa inakula moto sana.inatoa picha mbaya na mwonekamo wake sio mzuri kabisa
Yeah ni AMOLED nashkuru kwa kunisahihisha broh🙏Samsung haitumii OLED display kwenye S series.
Ya kwangu kwenye picha na utunzaji chaji iko vizuri, ila dosari ni hii mistari kwenye displayS20 + simu ovyo sana.nilinunua hiyo simu niajuta maana ilikuwa inakula moto sana.inatoa picha mbaya na mwonekamo wake sio mzuri kabisa
Sawa mm nmekubali nmenunua refurb, ila mbona hata hao waliounbox brand new still wanalalamikia hilo tatizo?Unanunua refurbished alafu unakuja JF kutusumbua l.
Sasa hiyo ni simu au matatizoKioo chake ni dynamic amoled ambavyo ndo vioo vipya sasa hvIe issue ya ku update kuweka mstari sidhan hv vioo vinhitaji intensive care kwa kwelinla sivyo utakua unalia cmu usingushe hovyo usiigonge hovyo au kuiibana kwenye mfukp wa suruali hovyo utalia
Kichwa tu cha uzi unaandika Weekness afu unamind kioo cha simu kuleta mstari??Naomba mods mubadilishe neno "weekness" kwenye title ya uzi badala yake lisomeke"weakness"
Siku hizi midrange pia ziko njema sanaa..Functionality broh, kuna tuvitu tunavifuata kweny hzo flagship ambavyo kweny midrange phone utavikosa
Hayo ni makosa tu ya kiuandishi broh na sidhan kama yana tija sana kweny uzi huuKichwa tu cha uzi unaandika Weekness afu unamind kioo cha simu kuleta mstari??
Tofaut ipoSiku hizi midrange pia ziko njema sanaa..
Ukinunua mpya functionality zake hazina tofauti na flagships.
Utofauti upo kakaSiku hizi midrange pia ziko njema sanaa..
Ukinunua mpya functionality zake hazina tofauti na flagships.
Nipe tofauti 10 kati ya Samsung S23 na Samsung A54..Utofauti upo kaka
Zpo tofaut mkuu kama dex,wireless power sharing halafu pia hauwez kufananisha processor ya exynos ya kweny a 54 na qualcomm snapdragon ya kweny s series, huwez kurecord video ya 8k resolution kweny a54(performance kwa ujumla ni tofaut pia)Nipe tofauti 10 kati ya Samsung S23 na Samsung A54..
(Zote zimetoka mwaka mmoja na zote nimebahatika kuzitumia)
S series ni kama mapambo mkuu mimi naziogopa sana now natumia Aseries simu hizi zinavumilia sana shida na zinashika mtandao hata uwe wapi battery kubwa na inakaa sana n moto kiufupi naziogopa sana s series labda nivumilie mwakani nione mrejesho wa s24 ndio nitanunuaHujaangusha kaka s20, s20+ naona ni shida kuna jamaa angu hapa kazini alichukua kakaa nayo miezi miwili imeleta hiyo mistari. Kuna jamaa mwingine ni foreigner anatunza sana simu yani nae juzi nilikuta kaweka simu yake mezani tayari imepata hizo lines. Kwakweli sijajua issue ni nini maana hilo tatizo lilikuwapo sana kwenye s6edge na s7 ila naona hizi s20 simekuwa changamoto