Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Bado hawajabadili, ila ban huwaga ni chapNaomba mods mubadilishe neno "weekness" kwenye title ya uzi badala yake lisomeke"weakness"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hawajabadili, ila ban huwaga ni chapNaomba mods mubadilishe neno "weekness" kwenye title ya uzi badala yake lisomeke"weakness"
HahahahBado hawajabadili, ila ban huwaga ni chap
No lowend hazihusiki hapa wala midrange, hivi vioo vilitumika kwenye flagship, na kama kumbukumbu zipo sahihi flagship ya Xiaomi equivalent ya S20 Wali tumia IPS display simu kama Mi 10T na 10T pro.Duuh kumbe hadi Xiaomi?...mimi najikusanya nichukue redmi 12 kumbe najidanganya?
Samahani kwa kukuuliza hivi hii phone ni lowended phone?No lowend hazihusiki hapa wala midrange, hivi vioo vilitumika kwenye flagship, na kama kumbukumbu zipo sahihi flagship ya Xiaomi equivalent ya S20 Wali tumia IPS display simu kama Mi 10T na 10T pro.
Low to midrange mkuu, ni nzuri kuliko lowend za kawaida ila bado sio proper midrange.Samahani kwa kukuuliza hivi hii phone ni lowended phone?View attachment 3068926
Daaah, kumbe ndivyo.Low to midrange mkuu, ni nzuri kuliko lowend za kawaida ila bado sio proper midrange.
Snapdragon zipo kwa tier hiiDaaah, kumbe ndivyo.
Samahani lakini maana naona ina display ya Amoled pia Chipset ni ya Snapdragon gen 1 kwanini iwe low to mid-range device?
Asante sana ngoja niingie YouTube niangalie sifa display yake na muonekana maana napenda sana simu yenye display isiyoumiza macho, pia isiyochemka wala kumaliza battery mapema.Snapdragon zipo kwa tier hii
Snapdragon 8 gen
Snapdragon 7 gen
Snapdragon 6 gen
Snapdragon 4 gen
Zinazoanziwa na 8 hizo ni highend na flagship kwa ujumla, hizo ndio best na zinatumika simu za mamilioni,
Snapdragon 7 series hizi ni midrange za kati mpaka za juu. Kuna snapdragon 7+ hizi zenye kijumlisha zinakuwa zinakaribia highend na kuna snapdragon 7 gen bila alama hizi ni za kati na kuna snapdragon 7s hizi zinakaribia snapdragon 6 gen series.
Snapdragon 6 series na 4 series hazitofautiani sana ila 6 series ni nzuri kidogo.
4 series zipo chini zaidi ila nazo zinatofautiana zenye 4S zinakua chini zaidi.
Same kwa amoled, sio Amoled zote zinafanana,. Most of time Amoled za bei rahisi zinatoka Boe China, kuna feature nyingi hazina kama adaptive refresh rate, mwanga unakua sio mkali sana etc.
Tatizo ni kwamba hakuna unapoweza kuipata samsung isipokuwa kwa samsung wenyewe.Inashusha hadhi brand, hapa kwanza nmestop maana kuna wengne wanaleta hadi kesi za s21,22 na 23. Bora warudishe note sokoni tuachane na s series
Tecno? Tema mate chini mkuu.Hii ishu bwana inachangamoto mimi nae natuamia s20 kuna sik nilikaa online masaa 6 simu ikachemka baada ya muda ilileta vidot vidov vidog kwenye kioo hvo vidot unaona mwanga mweupe kwa ndan ila ilivyopoa tu ikarud kweny hali ya kawaida hizi sim n shida bors utumie tecno
Huwa wanalipia kubadilisha makosa kwenye headingNaomba mods mubadilishe neno "weekness" kwenye title ya uzi badala yake lisomeke"weakness"
Hujaangusha kaka s20, s20+ naona ni shida kuna jamaa angu hapa kazini alichukua kakaa nayo miezi miwili imeleta hiyo mistari. Kuna jamaa mwingine ni foreigner anatunza sana simu yani nae juzi nilikuta kaweka simu yake mezani tayari imepata hizo lines. Kwakweli sijajua issue ni nini maana hilo tatizo lilikuwapo sana kwenye s6edge na s7 ila naona hizi s20 simekuwa changamotoSijadondosha mkuu wewe jaribu kufwatilia utaona watu wanavyolalamikia hli suala
Hivi na zile exynos ndo vipi. Mana baadhi ya flagship za Samsung zipoSnapdragon zipo kwa tier hii
Snapdragon 8 gen
Snapdragon 7 gen
Snapdragon 6 gen
Snapdragon 4 gen
Zinazoanziwa na 8 hizo ni highend na flagship kwa ujumla, hizo ndio best na zinatumika simu za mamilioni,
Snapdragon 7 series hizi ni midrange za kati mpaka za juu. Kuna snapdragon 7+ hizi zenye kijumlisha zinakuwa zinakaribia highend na kuna snapdragon 7 gen bila alama hizi ni za kati na kuna snapdragon 7s hizi zinakaribia snapdragon 6 gen series.
Snapdragon 6 series na 4 series hazitofautiani sana ila 6 series ni nzuri kidogo.
4 series zipo chini zaidi ila nazo zinatofautiana zenye 4S zinakua chini zaidi.
Same kwa amoled, sio Amoled zote zinafanana,. Most of time Amoled za bei rahisi zinatoka Boe China, kuna feature nyingi hazina kama adaptive refresh rate, mwanga unakua sio mkali sana etc.
Exynos ni soc za Samsung wenyewe, kwenye S23 series hawakutumia Exynos kabisa, na S24 series wame tumia Exynos 2400 ambayo ni nzuri.Hivi na zile exynos ndo vipi. Mana baadhi ya flagship za Samsung zipo
Mfano hiyo Samsung exynos 9810 ambayo ipo kwenye baadhi ya simu za zao za s9 ndo ikoje mana hujaitaja au hizo namba zinakuwapo wapiExynos ni soc za Samsung wenyewe, kwenye S23 series hawakutumia Exynos kabisa, na S24 series wame tumia Exynos 2400 ambayo ni nzuri.
Exynos za S22 na S21 zilikua na tabia ya ku overheat kama una matumizi makubwa vyema kuziepuka.
Pia Exynos 1480 ambayo Ipo kwenye Samsung Galaxy A55 ni nzuri.
Zenyewe zipo kama hivi
Exynos 2xxx series hizi ni flagship
Exynos 1xxx series hizi ni midrange
Hapo naongelea Zilizotoka hivi karibuni.
Hatuna visasi na hizo Simu ila watumiaji wake sasa looh!Sijui Apple amewakosea nini [emoji1787]
Ushamba tu unawasumbua.
hili neno "refurb" ndio nimeliona leo.Kuna wanaosema hiv vioo vya OLED vilivyopo kwenye simu za samsung hasa s series kuanzia 20 na kuendelea vikipokea software update huwa simu inapata joto ambalo vioo vinashindwa kuhimili hivyo kupelekea hili tatizo la vertcal green lines
Nunua mpya, kwa mawakala wanaotambulika na Samsung, achana na refurbishedYa kwangu ni clean kabisa hata haina dots, labda nahisi samsung wamefanya hvyo ili watu wanunue products zao mpya lakin inachafua jina la kampuni