Hili tatizo lishakuwa pandemic dunia mzmaMimi natumia s9 sijawahi kuiangusha wala kuigandamisha ila kuna muda kioo kinakuwa cheusi ghafla chenyewe,wakati mwingine unaweza ukatuma message "mambo" yenyewe ikatuma matusi.
Bora sasa nihamie team pixel hadi hali itakapokuwa shwari, maana hata samsung A series siwezi kabisa kuzitumiaHii ishu bwana inachangamoto mimi nae natuamia s20 kuna sik nilikaa online masaa 6 simu ikachemka baada ya muda ilileta vidot vidov vidog kwenye kioo hvo vidot unaona mwanga mweupe kwa ndan ila ilivyopoa tu ikarud kweny hali ya kawaida hizi sim n shida bors utumie tecno
Duuh sasa mbn mm nlitaka nihamie huko kwanza nipumzike hadi samsung watakapofanya maboreshoheri yako weye,
Google Pixels zina mtindo wa kuzima ghafla, na ndiyo imeisha hiyo
Case closed!!!Ni refurb broh, but hata huko duniani wenye uwezo wanasema baada ya kufanya update za software nao zlionekana kuwasumbua
Bro kuna sehemu nlisema nlifanya utafiti mtandaoni hata hao walionunua toka kwenye maduka ya samsung wamekutana na hiyo adhaCase closed!!!
Huwezi kununua refurbished electric device ikaharibikia mikononi mwako halafu ukailaumu kampuni huku ukijua kabisa yupo aliyekuwa anaitumia kabla yako huku matumizi yake na mazingira yake ya utunzaji ukiwa huyajui.
Hata ww unaweza kusearch"green vertical lines on samsung s20+) kwenye platform yeyote ya social media then utajionea kuna case ngapi na nini wadau wanachangia kuhusiana na hyo issueCase closed!!!
Huwezi kununua refurbished electric device ikaharibikia mikononi mwako halafu ukailaumu kampuni huku ukijua kabisa yupo aliyekuwa anaitumia kabla yako huku matumizi yake na mazingira yake ya utunzaji ukiwa huyajui.
Nimekuelewa vizuri sana lakini tukiondoa kujua kwamba hilo ni tatizo common kwa brand hiyo inabidi pia kujua kwamba lazima kuna mazingira yasiyo ya kawaida ya kimatumizi hutokea ndipo simu inakuwa na hiyo shida so wewe umefungwa na kipengele hiki sababu hujui aliyekuwa anaitumia hiyo simu kabla yako aliwahi kuidondosha mara ngapi,kui-over charge mara ngapi etc.Bro kuna sehemu nlisema nlifanya utafiti mtandaoni hata hao walionunua toka kwenye maduka ya samsung wamekutana na hiyo adha
huko ndiyo majanga zaidiDuuh sasa mbn mm nlitaka nihamie huko kwanza nipumzike hadi samsung watakapofanya maboresho
Ni tatizo la Samsung ila sio Samsung mtengeneza Simu bali Samsung mtengeneza Display na limezikumba flagship zote za 2020-2022, iwe oneplus,. Iphone, Xiaomi, Sony etc zote zinapata Green line.Habari zenu watanzania wenzangu na poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Mwaka jana mwezi dec nilibahatika kununua samsung s20+, baada ya kujikunja kwa muda mrefu kutokana na simu niliyokuwa natumia mwanzo(samsung s8) kuharibika betri. Lengo la kuandika uzi huu miezi miwili iliyopita nilipata mshutuko baada ya simu yangu ghafla kujitokeza mstari wa kijani kweny kioo mbaya zaidi sikuiangusha wala kuiingiza kwenye maji. Nikajaribu kupiga simu sehemu niliyonunulia kwa kuwa ilikuwa ndani ya warranty wakanijibu"warranty yao haihusishi vioo" nikapotezea.
Lakini baada ya kufanya tafiti zangu mitandaoni nimekutana na watu wengi duniani wakilalamikia hilo suala kwenye simu zao hasa samsung s series baada ya kumaliza kufanya update za software zilijitokeza mistari kama issues ya kwangu(global issue). Sasa kwa simu flag ship kama hizi ambazo zinabeba jina la kampuni haiwezi kuleta kashfa na sura mbaya kwa samsung, je kuna mwingine kashawahi kupata tatizo kama la kwangu?
Nina s20 pia ina mstari ila sifikiri kuhama , najivuta hapa nidondoshe s23 nitulie nayoInashusha hadhi brand, hapa kwanza nmestop maana kuna wengne wanaleta hadi kesi za s21,22 na 23. Bora warudishe note sokoni tuachane na s series
Hapa navyoandika yangu pia inao mmoja , ulitokeza tu wenyeweCase closed!!!
Huwezi kununua refurbished electric device ikaharibikia mikononi mwako halafu ukailaumu kampuni huku ukijua kabisa yupo aliyekuwa anaitumia kabla yako huku matumizi yake na mazingira yake ya utunzaji ukiwa huyajui.
Kuanzia S23 ama equivalent yake toka kampuni nyengine tatizo lipo solved.Nina s20 pia ina mstari ila sifikiri kuhama , najivuta hapa nidondoshe s23 nitulie nayo
Case ni nyingi bro hata hata classmate mwenzngu amkumbwa na hyo shida, baada ya muda hiyo mistari itaongezekaHapa navyoandika yangu pia inao mmoja , ulitokeza tu wenyewe
Na shida ndo hiyo simu nyingi zlitoka ndani ya huo mda warranty yake tayar imesha expire, ndo maana watu wengi wanasema samsung wamefanya hvyo makusud ili watu wanunue simu za matoleo mapyaNi tatizo la Samsung ila sio Samsung mtengeneza Simu bali Samsung mtengeneza Display na limezikumba flagship zote za 2020-2022, iwe oneplus,. Iphone, Xiaomi, Sony etc zote zinapata Green line.
Na hilo tatizo lipo covered na warranty kama simu umeinunua official kwenye maduka yanayojulikana, ila S20 warranty zimeshaisha. So huyo muuza duka alikupa tu warranty ya kijanja, ndio maana ni vyema warranty upewe ya maandishi na sio ya mdomo tu.
Ili kuhakiki kama ni software ama hardware unajua kuingia recovery/download mode? Kama unajua jaribu kuingia cheki kama mstari upo na huko.
Ngoja nijichange nivute hiyo s23Kuanzia S23 ama equivalent yake toka kampuni nyengine tatizo lipo solved.
Duuh kumbe hadi Xiaomi?...mimi najikusanya nichukue redmi 12 kumbe najidanganya?Ni tatizo la Samsung ila sio Samsung mtengeneza Simu bali Samsung mtengeneza Display na limezikumba flagship zote za 2020-2022, iwe oneplus,. Iphone, Xiaomi, Sony etc zote zinapata Green line.
Na hilo tatizo lipo covered na warranty kama simu umeinunua official kwenye maduka yanayojulikana, ila S20 warranty zimeshaisha. So huyo muuza duka alikupa tu warranty ya kijanja, ndio maana ni vyema warranty upewe ya maandishi na sio ya mdomo tu.
Ili kuhakiki kama ni software ama hardware unajua kuingia recovery/download mode? Kama unajua jaribu kuingia cheki kama mstari upo na huko.