Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

S20 + simu ovyo sana.nilinunua hiyo simu niajuta maana ilikuwa inakula moto sana.inatoa picha mbaya na mwonekamo wake sio mzuri kabisa
 
Kuna wanaosema hiv vioo vya OLED vilivyopo kwenye simu za samsung hasa s series kuanzia 20 na kuendelea vikipokea software update huwa simu inapata joto ambalo vioo vinashindwa kuhimili hivyo kupelekea hili tatizo la vertcal green lines
Samsung haitumii OLED display kwenye S series.
 
S20 + simu ovyo sana.nilinunua hiyo simu niajuta maana ilikuwa inakula moto sana.inatoa picha mbaya na mwonekamo wake sio mzuri kabisa
Ya kwangu kwenye picha na utunzaji chaji iko vizuri, ila dosari ni hii mistari kwenye display
 
Sasa hiyo ni simu au matatizo
Simu uilinde kama mboni ya jicho, Bora nikomae na sony au acquous sharp
 
Functionality broh, kuna tuvitu tunavifuata kweny hzo flagship ambavyo kweny midrange phone utavikosa
Siku hizi midrange pia ziko njema sanaa..
Ukinunua mpya functionality zake hazina tofauti na flagships.
 
Nipe tofauti 10 kati ya Samsung S23 na Samsung A54..


(Zote zimetoka mwaka mmoja na zote nimebahatika kuzitumia)
Zpo tofaut mkuu kama dex,wireless power sharing halafu pia hauwez kufananisha processor ya exynos ya kweny a 54 na qualcomm snapdragon ya kweny s series, huwez kurecord video ya 8k resolution kweny a54(performance kwa ujumla ni tofaut pia)
 
S series ni kama mapambo mkuu mimi naziogopa sana now natumia Aseries simu hizi zinavumilia sana shida na zinashika mtandao hata uwe wapi battery kubwa na inakaa sana n moto kiufupi naziogopa sana s series labda nivumilie mwakani nione mrejesho wa s24 ndio nitanunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…