Mimi sijawahi kuipanda Sauli ila alisababisha ajali ya kizembe kibaha sehemu inaitwa kwa bonde nakaidharau kampuni hii.
Kwa kifupi tuu kama ulikuwa hujui kwa safari za mbeyaUendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya Mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.
Narudia, Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Welldone mkuu kama hawatajifunza kwenye comment yako,achana nao na mimi ninakazia kama hupendi kusafiri na Sauli Bus achana nalo no one anakulazimisha, honestly mimi ni team sauli, nikifika tunduma nikaambiwa bus imejaa, straight nachukua hotel na kusubiria kesho yake,sipandi punda mimi ni farasi, na hii ni uamuzi wangu.Kwa kifupi tuu kama ulikuwa hujui kwa safari za mbeya
Mabasi ya sauli na golden dear haya ni magali Pedwa kwa wafanya biashara ambao wanapenda kuwahi mapema ili kuchukua na kupeleka mzigo nauli yake ni elfu 50 hadi 55 kwa tunduma ndo magali yanakimbia Sana sababu wafanya biashara tuu wawahi mizigo
Mabasi ya ABC upper class mwendo wa taratibu nauli yake elfu 58 hadi 60 ni wateja wao wakubwa ni matajiri wa mbeya tunduma ambao hawapendi budzaa
Mabasi ya rugwe , abood, achimwene , happy nation na new force haya mabasi wanayaita mabasi pedwa kwa watu Masikini nauli yake dar mbeya ni elfu 45 lakini hata ukiwa 35,000 hadi 40,000 pia unapanda ukiongea na konda sifa kubwa barabara za mijini hayakimbii Sana Ila sababu wanaokota abiria njiani Ila wakiwa huko maporini wanakimbia Hatari
Pia Kuna vostaaa mbeya dar vipo uyole nauli 25 hadi 30 wakati wa usiku ndo vinakimbia Sana
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu anayelazimishwa kupanda hayo magari ila yanaleta kero sio kwa abiria tu hata kwa wasafiri na watumiaji wengine wa barabara. Juzi kuna mmoja kaua mwanafunzi pale Mazombe Iringa kwa maspeed yasiyo na maana. Wanafunzi walikuwa wanatoka shule. Dereva wa lori kasimama na karuhusu wanafunzi wapite yeye na haraka zake kapamia wanafunzi wawili wa sekondari. Mmoja kafa na mwingine kamvunja na kumsababishia ulemavu mtoto wa watu.Welldone mkuu kama hawatajifunza kwenye comment yako,achana nao na mimi ninakazia kama hupendi kusafiri na Sauli Bus achana nalo no one anakulazimisha, honestly mimi ni team sauli, nikifika tunduma nikaambiwa bus imejaa, straight nachukua hotel na kusubiria kesho yake,sipandi punda mimi ni farasi, na hii ni uamuzi wangu.
Mkuu jipeleke mirembe hospital inaonekana una matatizo ya kuelewa, traffic officer's ni wale wale, again hakuna aliyekishia mtutu wa bunduki eti kata ticket ya Sauli!,achana nayo royal clients tupo, siku ukijipundua ukasafiri na sauli na ukaanza maneno ya kipuuzi,mimi nitakurudishia nauli yako on the spotUzuri ni relative!
Uzuri wa muungwana ni pasipo mwendokasi Na uhovyo,
Uzuri wa Mhuni na asiye na maono kwake uzuri kwao ni mwendokasi na kutofuata sheria za usalama barabarani.
Sasa wewe tuambie upi upande upi. ? [emoji2369]
Wacha hizo mkuu SIO sauli bus driver aliye ua ,tatizo barabara zetu ni duni, the bucket stop here, Iringa to mbeya ni less than 500km, kwenye highway huu ni mwendo wa 6hrs kwa bus, usiwe mwoga wa kusemea tatizo lipo wapi, usitafute majibu rahisi, barabara yetu ni mbovu, pia elewa pedestrians hawatuhusiwi kuwa kwenye highways, including mifugo etc etc,ule uchafu wa tutas ondoa na weka fixed speed cameras, mimi ni driver wa ITs mkuuHakuna mtu anayelazimishwa kupanda hayo magari ila yanaleta kero sio kwa abiria tu hata kwa wasafiri na watumiaji wengine wa barabara. Juzi kuna mmoja kaua mwanafunzi pale Mazombe Iringa kwa maspeed yasiyo na maana. Wanafunzi walikuwa wanatoka shule. Dereva wa lori kasimama na karuhusu wanafunzi wapite yeye na haraka zake kapamia wanafunzi wawili wa sekondari. Mmoja kafa na mwingine kamvunja na kumsababishia ulemavu mtoto wa watu.
Mi dereva wa serikali nafanya kazi hapa Iringa. Kwa jinsi wanavyokimbiza huku Kitonga. Tumuombe Mungu tu.
Mkuu jipeleke mirembe hospital inaonekana una matatizo ya kuelewa, traffic officer's ni wale wale, again hakuna aliyekishia mtutu wa bunduki eti kata ticket ya Sauli!,achana nayo royal clients tupo, siku ukijipundua ukasafiri na sauli na ukaanza maneno ya kipuuzi,mimi nitakurudishia nauli yako on the spot
me huwa naziita missile of the nation kabisa zitamaliza watuUendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya Mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.
Narudia, Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Yametimia.Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya Mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.
Narudia, Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Yes nipo na nitaendelea kuwa royal customer wao as long as hii kampuni bado ipo,tuache politics na ushabiki hapa,accidents ni someone fault sio kazi ya Mungu,tanker imebaki na barabarani bila ya kuwaonya watumiaji wengine wa barabara,matokeo yake ni Sauli kuishia kwenye matako ya tanker,new force Ali ignore good following distance (8s),naye akaishia matakoni mwa Sauli,T1 ni barabara finyu mno"royal" customer Nkanini upo?