Kwa kifupi tuu kama ulikuwa hujui kwa safari za mbeya
Mabasi ya sauli na golden dear haya ni magali Pedwa kwa wafanya biashara ambao wanapenda kuwahi mapema ili kuchukua na kupeleka mzigo nauli yake ni elfu 50 hadi 55 kwa tunduma ndo magali yanakimbia Sana sababu wafanya biashara tuu wawahi mizigo
Mabasi ya ABC upper class mwendo wa taratibu nauli yake elfu 58 hadi 60 ni wateja wao wakubwa ni matajiri wa mbeya tunduma ambao hawapendi budzaa
Mabasi ya rugwe , abood, achimwene , happy nation na new force haya mabasi wanayaita mabasi pedwa kwa watu Masikini nauli yake dar mbeya ni elfu 45 lakini hata ukiwa 35,000 hadi 40,000 pia unapanda ukiongea na konda sifa kubwa barabara za mijini hayakimbii Sana Ila sababu wanaokota abiria njiani Ila wakiwa huko maporini wanakimbia Hatari
Pia Kuna vostaaa mbeya dar vipo uyole nauli 25 hadi 30 wakati wa usiku ndo vinakimbia Sana
Sent from my SM-A037F using
JamiiForums mobile app