Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Binafsi nimeshakuelewa vizuri sana ndugu Brigedia General Carlitos Way!

Niliwahi kukaa na bwana mmoja akaniambia bwana mwezi februari na bwana penati nanauke ni watu hata sana! Nikamuona mbabaishaji...
 
๐Ÿค” So, kinachoendelea, jinsi kinavyoendelea ni hali ya kawaida tangu enzi zile. Kwamba kinachoshangaza ni hizi kelele nyingi za taharuki ambazo haziutendei haki uongozi wa sasa. Auโ€ฆ?
 
Kuna mwamba mmoja anakuambia "Unajenga lami alafu unaua watu sasa lami za niniii!!!?"

Unanunua ndege alaf wanaotakiwa kupanda unawaua, Sasa ndege za kazi gani!!?

Anyway Kama mzee wetu alitenda kosa kubwa kiasi cha kuhukumiwa kifo cha kikatili vile Basi bado wapo weengi sana kwenye mnyororo.
 
Ni jambo la kufikirisha sana kwa kweli.Uhalisia ni kwamba empire ina uhakika wa kushinda uchaguzi kwa ushindi mzuri tu kutokana na mambo mengi ambayo namba moja ameyafanya yaliyogusa mioyo ya watu wengi.Kuna uongozi na utu,namba moja ameutuhudhihirishia utu wake si kwa mtaji wa kisiasa bali ni makuzi yake aliyolelewa.Namba moja wetu ana utu na ni mwenye kujali.Tayari ushindi tunao sasa kwa nini madoa kama haya?
Mtazamo wangu kuna watu wanapata kiwewe na taswira nzuri ya namba moja inayozidi kujijenga kila siku hali inayotishia mikakati yao shindani.Sasa wanaamua kuweka makorongo kwenye barabara nzuri ili safari iwe ngumu na dereva akinai na uchovu wa safari.

Huu ni mtizamo wangu.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Satifa alikuwa na ''taarifa'' gani muhimu? Kumbuka walitumia watu, muda na mali nyingi ili tu kwenda kumuua kwenye mbuga za Katavi.
 
Binafsi nimeshakuelewa vizuri sana ndugu Brigedia General Carlitos Way!

Niliwahi kukaa na bwana mmoja akaniambia bwana mwezi februari na bwana penati nanauke ni watu hata sana! Nikamuona mbabaishaji...
Kama hao wawili wanaweza kufanya mambo kama hayo na Serikali ipo inawachekea tu basi tuna serikali dhaifu sana.
 
Bora ungekaa kimya Tu.
 
Labda alishiriki kumuua Dkt Magufuli yaani mambo mengi hata la kuchukua tunakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ