Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

Well said mkuu ndio yale yale kama ya mwezi mtukufu, watu wanaweka stop kwa muda lakini wanarudi kulekule.
Wengi tunaamini mwaka unapoanza ndio muda sahihi wa kuanza upya kumbe hilo linawezekana siku yeyote kama kweli umedhamiria kubadilika.
 
UZINZI
POMBE
SIGARA

UZINZI mwaka huu wote 2023 nimefanikiwa lkn pia 2023 nimekunywa bia zisizo zidi 30
Mkuu hongera sana umefanikiwa kupunguza mwshowe utaweza kabisa kuacha, uzinzi 2023 hiyo dhambi sina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…