Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

Ukweli ni kwamba watu wanatakiwa wa~focus kwenye value ya 24hours, nikiwa na maana ya kuipa heshima EVERY SINGLE DAY.

Haya masuala ya kusibiri mwisho wa mwaka ndio mtu ubadilishe life style huwaga ni excitement tu ya kuuona mwaka mpya,na baada tu ya kupita siku mbili tatu unashangaa umejikuta umerudi kwenye cycle ya tabia ulizoazimia kuacha kama kawaida.

Watu tujifunze kuona thamani ya kila siku mpya
Well said mkuu ndio yale yale kama ya mwezi mtukufu, watu wanaweka stop kwa muda lakini wanarudi kulekule.
Wengi tunaamini mwaka unapoanza ndio muda sahihi wa kuanza upya kumbe hilo linawezekana siku yeyote kama kweli umedhamiria kubadilika.
 
Nyeto itanimaliza ndugu zangu.

Toka 2018 napambana, naacha miezi kadhaa narudi.
Samahani katibu was chama Cha mkono bao, form mpya zime ingia kutoka kwa mwenyekiti dronedrake
Screenshot_20231230-170320_1.jpg
 
UZINZI
POMBE
SIGARA

UZINZI mwaka huu wote 2023 nimefanikiwa lkn pia 2023 nimekunywa bia zisizo zidi 30
Mkuu hongera sana umefanikiwa kupunguza mwshowe utaweza kabisa kuacha, uzinzi 2023 hiyo dhambi sina.
 
Back
Top Bottom