Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

Nataka niache kula wake za watu na vitoto vya form four b jamani maana hii bodaboda yangu ndio chanzo cha hayo yote.
 
Soda ni kipengele kwa wengi ila tujitahidi tuache.

Matumizi sio shida kama unaweza kuweka akiba bila kuigusa, ikiwa matumizi yako yanakausha akiba yako ya malengo badilika hasa ukiwa mpambanaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…