Ni tabia gani umepanga/ulipanga kuiacha kufanya punde tu ukiuanza mwaka mpya? Vipi matokeo yake.

Dah sema, walimwengu ndo wananikwamisha sana, sijui wananiroga 😟
 
Umeandika point kubwa.

Kuna watu nimewambia Jan 1 2024 ni j3 nyingine. Haina maajabu yoyote.
 
katika vitu niliacha kimasihara tu ni soda, na hapo home kulikuwa na sherehe tatu mfululizo, nakumbuka nilipewa soda nikajikuta tu nimesema situmiagi soda, mwaka wa 3 sijagusa soda na juice zoote za makopo.
 
Hongera sana, mimi ntajizuia ila kuna muda nashindwa kabisa nakunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…