ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana.
Wenye hekima Watanielewa.
Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala.
Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu.
Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia jinsi Wanadamu alivyo nao karibu.
Ukifika ile nchi kwenye kiti cha ufalme wake Mungu, kuna viti 24 vimekizunguka kile kiti na kwenye vile viti wapo watu 24 wamevikalia. Biblia imetumia neno wazee 24.
Hawa watu 24 ni akina nani? Na kwanini 24?
Twende sasa Nikueleze.
Msingi wa taifa la Israel ni watoto 12 wa yakobo. Hawa watoto 12 ndipo yalipatikana makabila 12 ya taifa la Israel. Taifa hilo liliundwa na Hao watoto.
Tena, Yesu kwa makusudi kabisa alichaguwa viongozi au wanafunzi 12. Hawa wanafunzi 12 wa Israel ndiyo msingi wa Ukristo wetu. Ukristo wetu ulijengwa juu ya msingi wa wanafunzi 12 wa ki Israel.
Twende sasa, hao watoto 12 wa yakobo na wanafunzi 12 wa Yesu jumla inakuja idadi 24. Hao watu wako mbele kabisa na utawala wa Mungu mbinguni au peponi.
Biblia inawataja kwamba ni wazee 24.
Kwanini wanaitwa wazee?
Neno mzee maana yake ni mtu wa kale. Hao watu walikuwepo miaka maelfu Iliyopita. Na kutokana na kazi kubwa ya kujenga ufalme wake hapa duniani maana kwa kupitia wao, Sisi huku tumemjua Mungu. Kwa hiyo Mungu Amewapa heshima kubwa Sana
Sio hilo tu kule mbinguni, msingi wa ule mji umepewa majina Hayohayo ya hao watu.
Sasa kama Mungu ameliheshimu kiasi hicho lile taifa la Israel, wewe na Mimi ni nani. Kuna sehemu pameandikwa Kuigusa Israel ni sawasawa umegusa mboni ya jicho lake Mungu.
Haya ni madini hadimu Sana. Wenye hekima Watanielewa.