Ni taifa la Israel tu raia wake 24 wako mbele kabisa katika utawala wa Mungu Mbinguni

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana.

Wenye hekima Watanielewa.

Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala.

Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu.

Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia jinsi Wanadamu alivyo nao karibu.

Ukifika ile nchi kwenye kiti cha ufalme wake Mungu, kuna viti 24 vimekizunguka kile kiti na kwenye vile viti wapo watu 24 wamevikalia. Biblia imetumia neno wazee 24.

Hawa watu 24 ni akina nani? Na kwanini 24?

Twende sasa Nikueleze.

Msingi wa taifa la Israel ni watoto 12 wa yakobo. Hawa watoto 12 ndipo yalipatikana makabila 12 ya taifa la Israel. Taifa hilo liliundwa na Hao watoto.

Tena, Yesu kwa makusudi kabisa alichaguwa viongozi au wanafunzi 12. Hawa wanafunzi 12 wa Israel ndiyo msingi wa Ukristo wetu. Ukristo wetu ulijengwa juu ya msingi wa wanafunzi 12 wa ki Israel.

Twende sasa, hao watoto 12 wa yakobo na wanafunzi 12 wa Yesu jumla inakuja idadi 24. Hao watu wako mbele kabisa na utawala wa Mungu mbinguni au peponi.

Biblia inawataja kwamba ni wazee 24.

Kwanini wanaitwa wazee?

Neno mzee maana yake ni mtu wa kale. Hao watu walikuwepo miaka maelfu Iliyopita. Na kutokana na kazi kubwa ya kujenga ufalme wake hapa duniani maana kwa kupitia wao, Sisi huku tumemjua Mungu. Kwa hiyo Mungu Amewapa heshima kubwa Sana

Sio hilo tu kule mbinguni, msingi wa ule mji umepewa majina Hayohayo ya hao watu.

Sasa kama Mungu ameliheshimu kiasi hicho lile taifa la Israel, wewe na Mimi ni nani. Kuna sehemu pameandikwa Kuigusa Israel ni sawasawa umegusa mboni ya jicho lake Mungu.

Haya ni madini hadimu Sana. Wenye hekima Watanielewa.
 
Wafia dini hawataki kusikia habari kama hizi kuelezea israel kwa mazuri yeyote
 
Sidhani! Mbona mpaka leo inaguswa tu?
Changamoto wanayokutana nayo ni kumkataa Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliyetumwa kwa ajili yao.
Sema hakuna mtu anaweza kuifuta au kuiondoa katika ardhi waliyopewa mababa zao Ibrahimu,Isaka na Yakobo.
 
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo.
 
Asante sana japo biblia haijafafanua kuwa hao wazee ni akina nani tukiachana na wale watoto kumi na wawili wa yakobo na hao mitume kumi na wa wawili kuna wazee wa zamani ambao ni manabii mungu aliwanyakuwa kuna mzee anaitwa henoki, kuna mzee anaitwa eliya, kuna huyu anaitwa musa, kuna yule aliye sulubishwa na yesu msalabani naye alinyakuliwa

Hawa ni baadhi ya walio nyakuliwa na mungu kulingana na maandiko binafsi nafikiri hao wazee 24 pengine ni hao wakina musa na eliya na henoki na hao mitume kuminambili au labda ni hao watoto wa yakobo biblia haijafafanua vizuri kipingele hiki
 
Wazee 24 ni haohao watoto 12 wa yakobo na mitume 12 wa Yesu. Hata misingi ya mbinguni Ina majina 12 ya mitume na milango 12 ina majina 12 ya watoto wa yakobo. Soma ufunuo. Nilichoandika ni kweli tupu
 
Asante sana japo biblia haijafafanua kuwa hao wazee ni akina nani tukiachana na wale watoto kumi na wawili wa yakobo na hao mitume kumi na wa wawili kuna wazee wa zamani ambao ni manabii mungu aliwanyakuwa kuna mzee anaitwa henoki, kuna mzee anaitwa eliya, kuna huyu anaitwa musa, kuna yule aliye sulubishwa na yesu msalabani naye alinyakuliwa

Hawa ni baadhi ya walio nyakuliwa na mungu kulingana na maandiko binafsi nafikiri hao wazee 24 pengine ni hao wakina musa na eliya na henoki na hao mitume kuminambili au labda ni hao watoto wa yakobo biblia haijafafanua vizuri kipingele hiki
Another rubbish.
 
Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana.

Wenye hekima Watanielewa.

Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala.

Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu.

Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia jinsi Wanadamu alivyo nao karibu.

Ukifika ile nchi kwenye kiti cha ufalme wake Mungu, kuna viti 24 vimekizunguka kile kiti na kwenye vile viti wapo watu 24 wamevikalia. Biblia imetumia neno wazee 24.

Hawa watu 24 ni akina nani? Na kwanini 24?

Twende sasa Nikueleze.

Msingi wa taifa la Israel ni watoto 12 wa yakobo. Hawa watoto 12 ndipo yalipatikana makabila 12 ya taifa la Israel. Taifa hilo liliundwa na Hao watoto.

Tena, Yesu kwa makusudi kabisa alichaguwa viongozi au wanafunzi 12. Hawa wanafunzi 12 wa Israel ndiyo msingi wa Ukristo wetu. Ukristo wetu ulijengwa juu ya msingi wa wanafunzi 12 wa ki Israel.

Twende sasa, hao watoto 12 wa yakobo na wanafunzi 12 wa Yesu jumla inakuja idadi 24. Hao watu wako mbele kabisa na utawala wa Mungu mbinguni au peponi.

Biblia inawataja kwamba ni wazee 24.

Kwanini wanaitwa wazee?

Neno mzee maana yake ni mtu wa kale. Hao watu walikuwepo miaka maelfu Iliyopita. Na kutokana na kazi kubwa ya kujenga ufalme wake hapa duniani maana kwa kupitia wao, Sisi huku tumemjua Mungu. Kwa hiyo Mungu Amewapa heshima kubwa Sana

Sio hilo tu kule mbinguni, msingi wa ule mji umepewa majina Hayohayo ya hao watu.

Sasa kama Mungu ameliheshimu kiasi hicho lile taifa la Israel, wewe na Mimi ni nani. Kuna sehemu pameandikwa Kuigusa Israel ni sawasawa umegusa mboni ya jicho lake Mungu.

Haya ni madini hadimu Sana. Wenye hekima Watanielewa.
Bwana mdogo bange hazikupendi
 
mada iko vizurii mazee....makobaz hayafaii kabisaaa yamelaaniwa hayoo, yamegeuza madrassa gestiiii, yanabanguana korosho mlee hataree
 
Sidhani! Mbona mpaka leo inaguswa tu?
Changamoto wanayokutana nayo ni kumkataa Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliyetumwa kwa ajili yao.
Sema hakuna mtu anaweza kuifuta au kuiondoa katika ardhi waliyopewa mababa zao Ibrahimu,Isaka na Yakobo.
Walimkataa Yesu ili andiko litimie
 
Back
Top Bottom