Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati

Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati

samoramsouth

Senior Member
Joined
Jan 16, 2011
Posts
192
Reaction score
30
Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024 hadi sasa hazijaingizwa. Mitihani ya muhula wa kwanza ni hatihati kufanyika. Bwana Mkenda unaizungumziaje. ELIMU ELIMU ELIMU. USIMWACHE AENDE ZAKE.
 
Si tumetaka bure acha iwe Bure ila nadhani bado ni mapema kusema wazazi wagharimie
Serikali ingepaswa kubanwa na wabunge na asas za kiraia kuboresha elimu lakini Sasa bunge ni lao kwa sasa
 
Wananchi ndiyo wanatakiwa waiwajibishe serikali. Tanzania bunge ni sehemu ya serikali.
Wananchi lazima wapate kiongozi wa kuanzisha hiyo move mmoja mmoja sio rahisi na elimu yenyewe ya kufanya hayo sidhani kama ipo
 
Tutaelewa tu kwamba cha bure ni salamu na si mengineyo.....
 
Wadau mimi ni mdau wa elimu kama mjumbe wa kamati mojawapo ya shule. Ni takribani kuanzia Januari 2024 fedha za Capitation mashuleni haziingizwi kwa wakati. Mfano fedha ya Machi na Aprili 2024 hadi sasa hazijaingizwa. Mitihani ya muhula wa kwanza ni hatihati kufanyika. Bwana Mkenda unaizungumziaje. ELIMU ELIMU ELIMU. USIMWACHE AENDE ZAKE.
KWA HIYO JF NDIO TUNAINGIZA
 
Pole sana mkuu najua kinachokukereketa hapo ni kuchelewa kwa posho ya madaraka na wala sio ulichokisema
 
Back
Top Bottom