MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF
Katika kipindi cha miaka sita iliyopita nchi yetu ilishuhudia utawala usiofuata sheria na kutojali haki na heshima za binadamu. Watanzania wengi walikua wamekatwa mikia na kugugumia. Haki za kisiasa na kiraia ziliporwa na watu waliumizwa kimwili na kiuchumi na wengine kupoteza maisha.
Mustakabali mzima wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ulikua chini ya maamuzi ya mtu mmoja. Yeye ndiye aliyekua muamuzi wa wapi maendeleo yaende au la, nani ale au afe njaa, nani ateuliwe au atumbuliwe. Mkusanyiko wa ujinga mwingi kama huu ulitotokana na udhaifu wa katiba yetu lakini pia na mapungufu ya afya ya akili ya kiongozi wetu.
Kama wenzangu walivyosema, mwenye enzi Mungu alituamulia ugomvi huu, je kuna haja ya kuendelea kutetea ujinga huo mwingi uliopita? Tumuombe Mungu atuvushe na atupe mapito na mwisho mwema. Asanteni
www.jamiiforums.com

Taifa letu lina watu wengi wasiowaza vizuri
Habari wana JF, Kwa masikitiko makubwa naomba nitoe maoni yangu chefuzi. Watu wetu wana IQ ndogo, kwa sababu ya hofu wanashangilia udhalimu na kupigia mapambio uonevu. Je, kazi ya akili ni nini, ikiwa haikufikirishi? Je, kazi ya elimu ni nini ikiwa haikuelimishi? Ikiwa unauza utu wako kwa...