Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

Mungu fundi kweli kweli,ndiye huyu anayejua wewe umebakiza masaa tu lakini uko unademka hapa kudhihaki kifo hicho hicho!!!!
Nitahukumiwa kwa matendo yangu na yeye aliyetangulia hali kadhalika
 
cheki unavyojifariji kijinga,eliya kapigwa mawe mpaka anakufa unakuja kujichekesha hapa!!!

ndio sababu nikasema kabla hujafakamia bible hakikisha umekula kwanza.
Tumia ubongo na weye!Wale tunaowaita mashahidi wa Uganda walikufaje?Let that alone,Yesu alikufaje?Ujuaji mwingi wakati hujui hata tafsiri za vyanzo vya vifo.Nakucheka kwa dharau.
 
Mjinga na MPUMBAVU ni wewe unayepigwa kodi kila unapogeuka huku wenzio wakilamba ASALI! Hakuna utawala wa hovyo kama huu uliopo sasa! Magufuli pamoja na madhaifu yake hauwezi kumfananisha na takataka nyingine yoyote!
 
Adolf Hitler alileta maendeleo makubwa sana ujerumani lakini atrocities alizofanya kwa human kind haziwezi kusahulika, hakuna anayetea ujinga wake
Wala sio mlinganisho sahihi kabisa. Jpm na hitler wapi na wapi? Ni wapinga maendeleo na fisadi na wazembe waliyodhibitiwa na jpm ndio wanajaribu kupotosha eti alikua dikteta.
 
Apumzike tu...nchi ilipoteza Uhuru wake maana hata viongozi wa dini wanaoliombea dua taifa wanaotumika kuwatuliza watu kwa maneno na vitengo walikosa thamani, kila kukicha walaka kumuhusu haya mambo hayakuerpo kabla.
 
Tumia ubongo na weye!Wale tunaowaita mashahidi wa Uganda walikufaje?Let that alone,Yesu alikufaje?Ujuaji mwingi wakati hujui hata tafsiri za vyanzi vya vifo.Nakucheka kwa dharau.
cheka kwa dharau tu,si ndio akili zako zimeishia hapo!!nakusaidiaje sasa!!!

unasema eliya hakufa kibudu nini maana ya kufa kibudu???nani alikufa kifo kibaya kati ya magufuli na eliya mtumishi wa Mungu???

Mungu ni mgumu sana kueleweka kwa vichwa panzi kama nyinyi,mnadandia maandiko tu kwa mbele.
 
cheka kwa dharau tu,si ndio akili zako zimeishia hapo!!nakusaidiaje sasa!!!

unasema eliya hakufa kibudu nini maana ya kufa kibudu???nani alikufa kifo kibaya kati ya magufuli na eliya mtumishi wa Mungu???

Mungu ni mgumu sana kueleweka kwa vichwa panzi kama nyinyi,mnadandia maandiko tu kwa mbele.
Ndugu,kwenye maandiko huko umeonesha ulivyo mdebwedo.Jikite tu kumtetea jamaa yako jiwe.
 
1.5 Trillion ziko wapi? Chato airport na Burigi National Park ndiyo milestone zako? Azorry na Ben Saanane wako wapi?
Kuna watu wapumbavu sana kama huyu mleta mada.Unaweza kulinganisha miradi mikubwa ya maendeleo na porojo za CAG? Watanzania tumesema hata angekula 5trilion sisi tuliridhika! Kwa sababu maendeleo tuliyaona! Hapakuwa na kodi za kijinga wala mikopo ya kipuuzi na maendeleo yalionekana! Kama FISADI na muuaji alifanya hayo yote! Hakika alikuwa FISADI mzuri na mwema sana! Azory na saa nane ndiyo kina nani? Watu maelfu na kina mama wajawazito wanakufa kila siku kwa ubovu wa miundombinu na huduma za afya unadhani wao sio watu? Kama hao wapiga chokochoko na wazuia maendeleo na kuzidi kuumiza maelfu ya watu kwa umasikini kwa siasa uchwara walipaswa kuondoshwa ili wengine waishi basi ni heri!
 
tuliteseka sana aisee. Azory masikini mpaka leo hatujui alipo. halafu kuna mbuzi zinatetea huu uovu
Azory na saa nane ndiyo kina nani? Watu maelfu na kina mama wajawazito wanakufa kila siku kwa ubovu wa miundombinu na huduma za afya unadhani wao sio watu? Tena ndiyo uovu mkubwa huku viongozi wakitumia mabilioni kwa royal tour na kula kwa urefu wa kamba! Kama hao wapiga chokochoko na wazuia maendeleo na kuzidi kuumiza maelfu ya watu kwa umasikini kwa siasa uchwara walipaswa kuondoshwa ili wengine waishi basi ni heri!
 
Mjinga na MPUMBAVU ni wewe unayepigwa kodi kila unapogeuka huku wenzio wakilamba ASALI! Hakuna utawala wa hovyo kama huu uliopo sasa! Magufuli pamoja na madhaifu yake hauwezi kumfananisha na takataka nyingine yoyote!
Toa hoja acha mihemuko, yule aliyekua anapora hela za watu kwenye mabenki? Aliekua anakopa pesa kwenye benki za biashara kimya kimya na kukudanganya miradi inaendeshwa kwa pesa zetu? Huyo aliyekua anatesa na kununua wapinzani au yule aliyekua anatumia pesa za serikali kukaa chato na delegation yake miezi sita?
 
Back
Top Bottom