mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
makelele tu hoja huna.Ndugu,kwenye maandiko huko umeonesha ulivyo mdebwedo.Jikite tu kumtetea jamaa yako jiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makelele tu hoja huna.Ndugu,kwenye maandiko huko umeonesha ulivyo mdebwedo.Jikite tu kumtetea jamaa yako jiwe.
Na kwa nini watu wafe kizembe kwa kukosa huduma za msingi za afya?Usikwepeshe hoja.Iwe kupotea kwa watu,kodi za hovyo,kuuwawa watu,kuporwa mali na kuharibiwa,kukosa huduma nk,yote ni sababu ya CCM dhaifu.Azory na saa nane ndiyo kina nani? Watu maelfu na kina mama wajawazito wanakufa kila siku kwa ubovu wa miundombinu na huduma za afya unadhani wao sio watu? Tena ndiyo uovu mkubwa huku viongozi wakitumia mabilioni kwa royal tour na kula kwa urefu wa kamba! Kama hao wapiga chokochoko na wazuia maendeleo na kuzidi kuumiza maelfu ya watu kwa umasikini kwa siasa uchwara walipaswa kuondoshwa ili wengine waishi basi ni heri!
vipi pale serengeti viongozi wa dini wanapata thamani au sio!!!!Apumzike tu...nchi ilipoteza Uhuru wake maana hata viongozi wa dini wanaoliombea dua taifa wanaotumika kuwatuliza watu kwa maneno na vitengo walikosa thamani, kila kukicha walaka kumuhusu haya mambo hayakuerpo kabla.
Acha mihemuko jenga hojaKuna watu wapumbavu sana kama huyu mleta mada.Unaweza kulinganisha miradi mikubwa ya maendeleo na porojo za CAG? Watanzania tumesema hata angekula 5trilion sisi tuliridhika! Kwa sababu maendeleo tuliyaona! Hapakuwa na kodi za kijinga wala mikopo ya kipuuzi na maendeleo yalionekana! Kama FISADI na muuaji alifanya hayo yote! Hakika alikuwa FISADI mzuri na mwema sana! Azory na saa nane ndiyo kina nani? Watu maelfu na kina mama wajawazito wanakufa kila siku kwa ubovu wa miundombinu na huduma za afya unadhani wao sio watu? Kama hao wapiga chokochoko na wazuia maendeleo na kuzidi kuumiza maelfu ya watu kwa umasikini kwa siasa uchwara walipaswa kuondoshwa ili wengine waishi basi ni heri!
Sasa mwandiko una kelele?Hebu kuwa na akili unapoeleza jambo.Acha mazoea.Mwisho utaandika unasikia harufu ya ushuzi inatokea JF.🤔🤔🤔🤔makelele tu hoja huna.
sasa kiherehere cha kumparamia jpm peke yake ni sababu alikuulia mume au???Na kwa nini watu wafe kizembe kwa kukosa huduma za msingi za afya?Usikwepeshe hoja.Iwe kupotea kwa watu,kodi za hovyo,kuuwawa watu,kuporwa mali na kuharibiwa,kukosa huduma nk,yote ni sababu ya CCM dhaifu.
Hapo kwa mwenye kuamua nani aishi nani asihishi unaweza kuhibitisha pasi na shakha kuwa alikuwa alifanya hivo?Wasalaam wana JF
Katika kipindi cha miaka sita iliyopita nchi yetu ilishuhudia utawala usiofuata sheria na kutojali haki na heshima za binadamu. Watanzania wengi walikua wamekatwa mikia na kugugumia. Haki za kisiasa na kiraia ziliporwa na watu waliumizwa kimwili na kiuchumi na wengine kupoteza maisha.
Mustakabali mzima wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ulikua chini ya maamuzi ya mtu mmoja. Yeye ndiye aliyekua muamuzi wa wapi maendeleo yaende au la, nani ale au afe njaa, nani ateuliwe au atumbuliwe. Mkusanyiko wa ujinga mwingi kama huu ulitotokana na udhaifu wa katiba yetu lakini pia na mapungufu ya afya ya akili ya kiongozi wetu.
Kama wenzangu walivyosema, mwenye enzi Mungu alituamulia ugomvi huu, je kuna haja ya kuendelea kutetea ujinga huo mwingi uliopita? Tumuombe Mungu atuvushe na atupe mapito na mwisho mwema. Asanteni
sasa kiherehere cha kumparamia jpm peke yake ni sababu alikuulia mume au???Na kwa nini watu wafe kizembe kwa kukosa huduma za msingi za afya?Usikwepeshe hoja.Iwe kupotea kwa watu,kodi za hovyo,kuuwawa watu,kuporwa mali na kuharibiwa,kukosa huduma nk,yote ni sababu ya CCM dhaifu.
Mimi mtawa sina mke.Jiwe atasakamwa hadi mlie.Kuku ninyi!😂😂😂sasa kiherehere cha kumparamia jpm peke yake ni sababu alikuulia mume au???
hata huyo mumeo saanane alisahau adui yakeni yupi akaanza kumsakama mtu kama mtu,akakutana na kitu kizito.
mwandiko una kelele ndio maana una alama kiazi weww,ukiuzwa huwezi jua kama hili ni swali kisa husikii sauti???Sasa mwandiko una kelele?Hebu kuwa na akili unapoeleza jambo.Acha mazoea.Mwisho utaandika unasikia harufu ya ushuzi inatokea JF.🤔🤔🤔🤔
Sasa umeanza kujionesha ulivyo kichaa.Hebu rudia kusoma ulichokiandika.mwandiko una kelele ndio maana una alama kiazi weww,ukiuzwa huwezi jua kama hili ni swali kisa husikii sauti???
mwandiko una kelele ndio maana una alama kiazi weww,ukiuzwa huwezi jua kama hili ni swali kisa husikii sauti????Sasa mwandiko una kelele?Hebu kuwa na akili unapoeleza jambo.Acha mazoea.Mwisho utaandika unasikia harufu ya ushuzi inatokea JF.🤔🤔🤔🤔
sisi tulilia siku amekufa,nyinyi mtashikwa na uchungu mpaka mnaingia ardhini maama mimba aliyowaachia ni kubwa mno.Mimi mtawa sina mke.Jiwe atasakamwa hadi mlie.Kuku ninyi!😂😂😂
Hebu kajizike kando ya shimo alilohifadhiwa tuone uchungu wako.😂😂😂mwandiko una kelele ndio maana una alama kiazi weww,ukiuzwa huwezi jua kama hili ni swali kisa husikii sauti????
sisi tulilia siku amekufa,nyinyi mtashikwa na uchungu mpaka mnaingia ardhini maama mimba aliyowaachia ni kubwa mno.
unatoa kejeli kwa azory na saanane kwa kuwa tu si ndugu zako wa damuAzory na saa nane ndiyo kina nani? Watu maelfu na kina mama wajawazito wanakufa kila siku kwa ubovu wa miundombinu na huduma za afya unadhani wao sio watu? Tena ndiyo uovu mkubwa huku viongozi wakitumia mabilioni kwa royal tour na kula kwa urefu wa kamba! Kama hao wapiga chokochoko na wazuia maendeleo na kuzidi kuumiza maelfu ya watu kwa umasikini kwa siasa uchwara walipaswa kuondoshwa ili wengine waishi basi ni heri!
hayo mambo mnayaweza nyumbu tu.Hebu kajizike kando ya shimo alilohifadhiwa tuone uchungu wako.😂😂😂
kama hiyo ni hoja anza na mletamada kwa jpm kwanza,vinginevyo ni unafiki unafanya.unatoa kejeli kwa azory na saanane kwa kuwa tu si ndugu zako wa damu
huduma za afya kama ulivyo sema ni kama hakuna, hasa vijijini
Kwa hiyo unaugomea ushauri wa Zitto?Onesha upendo kwa jamaa yenu.Show some love,buddy!hayo mambo mnayaweza nyumbu tu.
Katika kipindi cha Mwaka mmoja na miezi michache nchi yetu inashuhudia utawala unaolinda Viongozi mafisadi, wafanyabiashara wakubwa na watumishi chawa na kutojali haki na heshima za raia wa hali ya chini kama kiini na chachu ya maendeleo kupitia makusanyo ya kodi na tozo za kinyonyaji.Wasalaam wana JF
Katika kipindi cha miaka sita iliyopita nchi yetu ilishuhudia utawala usiofuata sheria na kutojali haki na heshima za binadamu. Watanzania wengi walikua wamekatwa mikia na kugugumia. Haki za kisiasa na kiraia ziliporwa na watu waliumizwa kimwili na kiuchumi na wengine kupoteza maisha.
Mustakabali mzima wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ulikua chini ya maamuzi ya mtu mmoja. Yeye ndiye aliyekua muamuzi wa wapi maendeleo yaende au la, nani ale au afe njaa, nani ateuliwe au atumbuliwe. Mkusanyiko wa ujinga mwingi kama huu ulitotokana na udhaifu wa katiba yetu lakini pia na mapungufu ya afya ya akili ya kiongozi wetu.
Kama wenzangu walivyosema, mwenye enzi Mungu alituamulia ugomvi huu, je kuna haja ya kuendelea kutetea ujinga huo mwingi uliopita? Tumuombe Mungu atuvushe na atupe mapito na mwisho mwema. Asanteni
Athati ya majaribio ya kuvuta bangi, imekuharibu tayari. Pole kinda.Wasalaam wana JF
Katika kipindi cha miaka sita iliyopita nchi yetu ilishuhudia utawala usiofuata sheria na kutojali haki na heshima za binadamu. Watanzania wengi walikua wamekatwa mikia na kugugumia. Haki za kisiasa na kiraia ziliporwa na watu waliumizwa kimwili na kiuchumi na wengine kupoteza maisha.
Mustakabali mzima wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ulikua chini ya maamuzi ya mtu mmoja. Yeye ndiye aliyekua muamuzi wa wapi maendeleo yaende au la, nani ale au afe njaa, nani ateuliwe au atumbuliwe. Mkusanyiko wa ujinga mwingi kama huu ulitotokana na udhaifu wa katiba yetu lakini pia na mapungufu ya afya ya akili ya kiongozi wetu.
Kama wenzangu walivyosema, mwenye enzi Mungu alituamulia ugomvi huu, je kuna haja ya kuendelea kutetea ujinga huo mwingi uliopita? Tumuombe Mungu atuvushe na atupe mapito na mwisho mwema. Asanteni
zitto ni mtu wa fulsa,haoni tabu kumkana mama yake mzazi kisa chakula.Kwa hiyo unaugomea ushauri wa Zitto?Onesha upendo kwa jamaa yenu.Show some love,buddy!