Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

Kitendo cha kujua hujui kitu ni busara na una akili. Ila anaejua anajua kumbe hajui hana busara. Je umeshindwa kuelewa maendeleo yaliyoletwa kwa mda mfupi na mwamba JPM?
Mkuu ata Adolf Hitler alileta maendeo makubwa Germany lakini kwa ukatili wake hakuna anayemtetea
 
Ujinga mkubwa kama mtu anakuletea maendeleo na anapofariki unafurahi. Huo ni ujinga na upumbavu uliokubuhu. Badala ya kumuombea azidi kuishi ili azidishe maendeleo tunakuwa wajinga.
 
Back
Top Bottom