Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

Nchi hii inaombewa si kwa Maneno tu bali hadi kwa machochi yatililikayo pasipo ukomo kwa uamsho mkubwa wa Maombi.

Atakaye Kuwa adui wa haki Mwisho wake utakua Mbaya.
kama mwisho mbaya ni kifo basi shime,elimu ya uzima na kifo ikafundishwe upya kwa baadhi yenu.
 
1.5 Trillion ziko wapi? Chato airport na Burigi National Park ndiyo milestone zako? Azorry na Ben Saanane wako wapi?
Upuuzi tu. Huyo azarry na ben saa nane wakipotea kwa upingaji wao maendeleo, na hiyo 1.5 tr hewa ndio utalinganisha na maendeleo makubwa yaliyofanyika kwenye uwekezaji kwenye miundombinu afya na uboreshaji wa utawala kwa kupunguza rushwa na ufisadi?
 
Adolf Hitler alileta maendeleo makubwa sana ujerumani lakini atrocities alizofanya kwa human kind haziwezi kusahulika, hakuna anayetetea ujinga wake
 
tatizo la nchi hii ni Katiba, tutakuja kujuta siku moja kama tukifikiri suala la kuandika katiba mpya si la muhimu kwa sasa. Ni kweli bila Muumba kuingilia kati nchi ilikuwa inakwenda pabaya mno yaani Somalia ingekuwa na nafuu.
 
Back
Top Bottom