Kitendo cha kujua hujui kitu ni busara na una akili. Ila anaejua anajua kumbe hajui hana busara. Je umeshindwa kuelewa maendeleo yaliyoletwa kwa mda mfupi na mwamba JPM?
Ujinga mkubwa kama mtu anakuletea maendeleo na anapofariki unafurahi. Huo ni ujinga na upumbavu uliokubuhu. Badala ya kumuombea azidi kuishi ili azidishe maendeleo tunakuwa wajinga.