Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 389
- 911
mjinga mjinga ni wewe koma usituchukulie poa watz unadhani kukariri ngeli kazi ndogo!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si Bora Hilo la nyimbo ni burudani tu.. Vipi kuhusu kutugawa walivyotugawa.. Mpaka leo hii watu weusi hatuna ushirikiano na tunachukiana kupita maelezo.. Mtu anafikia kusema Bora afanikiwe mtu Baki Kuliko mtu wake wa karibu.. Mwingine mwenye kanafasi atasema ni Bora kuajiri mtu Baki Kuliko kuajiri ndugu au mtu wa karibu..Nimefanikiwa kufika nchi kadhaa na sikuwahi kuona watu wa nchi hizo wakisikiliza au kufurahia nyimbo zilizoimbwa kwa lugha za nchi zingine wasizozijua.
Lakini hapa kwetu miaka nenda rudi tangu nakua miaka ya 70 nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakisikiliza nyimbo za Kizungu na ukiwafuatilia hata neno moja hawajui maana yake, tena nakumbuka hii ni hadi vijijini ambapo hata salamu ya kiingereza haijui, nakumbuka wengine waliweza kukariri nyimbo yote ya Bob marley au Celine Diana.
Naona kwa nyimbo za Kongo ndio usiseme yaani ndizo zinazobamba kwenye baa na kwenye maharusi. Hata hapa ninapoandika hii mada nipo baa moja kali sana lakini mwanzo mwisho ni nyimbo za Kongo.
Kwa usomi wangu mdogo ninafikiri huenda kuna hujuma tulifanyiwa na wakoloni wetu wakatupatia dawa za kulevya ndio maana wengi tupo kama wajingawajinga sana , na wengine wapo kama mateja hivi NA NDIO MAANA NCHI HII NI RAHISI SANA KWA WATAWALA
Huyu mtoa mada mluga luga haelewi kwamba muziki ni lugha ya Dunia.Muziki ni universal language usipoelewa mashairi unarufahia mdundo
🤣🤣🤣🤣Kuna songi la ki Ethiopia linaitwa Serk Addis linanibamba balaa nalisikiliza sana....ila sijui hata wanaimba nini usikute songi la mazishi 🙄
View attachment 2744147
Ukiona mtu anasikiliza au kucheza asichokijua basi ni dalili za kuwa HAMNAZO KICHWANISidhani kama kuna ukweli.
Muziki ni zaidi ya lugha, wengine tunavutiwa na beats,vionjo etc.
Les Mangelepa waliimba lingala tupu ila ni band pendwa tena Kenya kwa wazungu pori.
Celine Diana ndo nani mkuuNimefanikiwa kufika nchi kadhaa na sikuwahi kuona watu wa nchi hizo wakisikiliza au kufurahia nyimbo zilizoimbwa kwa lugha za nchi zingine wasizozijua.
Lakini hapa kwetu miaka nenda rudi tangu nakua miaka ya 70 nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakisikiliza nyimbo za Kizungu na ukiwafuatilia hata neno moja hawajui maana yake, tena nakumbuka hii ni hadi vijijini ambapo hata salamu ya kiingereza haijui, nakumbuka wengine waliweza kukariri nyimbo yote ya Bob marley au Celine Diana.
Naona kwa nyimbo za Kongo ndio usiseme yaani ndizo zinazobamba kwenye baa na kwenye maharusi. Hata hapa ninapoandika hii mada nipo baa moja kali sana lakini mwanzo mwisho ni nyimbo za Kongo.
Kwa usomi wangu mdogo ninafikiri huenda kuna hujuma tulifanyiwa na wakoloni wetu wakatupatia dawa za kulevya ndio maana wengi tupo kama wajingawajinga sana , na wengine wapo kama mateja hivi NA NDIO MAANA NCHI HII NI RAHISI SANA KWA WATAWALA
Sipendagi huo ujinga i seeNasikiliza Ngoma yoyote hata ikiwa VALHALLA ilimradi melody ipo poa...
Ila tuache UONGO jumatano bar ya kitaa Kuna boa sana Kuna wana wanaimba karaoke si elewagi wale jamaa tumewakosea Nini sisi walevi.
Hata mimi napenda kusikiliza nyimbo nyingi tu za Selamawit Gebru.Kuna songi la ki Ethiopia linaitwa Serk Addis linanibamba balaa nalisikiliza sana....ila sijui hata wanaimba nini usikute songi la mazishi [emoji849]
View attachment 2744147
Wewe kubali tu kuwa tunaongoza katika ujinga. Yaani ukitaka kuelewa vizuri basi mchukuwe nyani umuwekee mziki utaona anavyosikiliza na kurukaruka japo hajui kinachoimbwa. Lakini kwa Binadamu aliyekamilika hawezi kufanya hivyo, narudia kusema BINADAMU ALIYEKAMILIKA.mjinga mjinga ni wewe koma usituchukulie poa watz unadhani kukariri ngeli kazi ndogo!?
Huyu mtoa mada mluga luga haelewi kwamba muziki ni lugha ya Dunia.
Mfano mimi naipenda hii ngoma za kizulu ila sijui maana yake.
View: https://youtu.be/YT8HMcAqLMs?si=iyDkRY1TA5wAyGfk
Usipoelewa maneno utaelewa mdundo.
Nikiona show ya mondi Ethiopia,na wanamfuatisha kuimba,Zambia huko nyimbo injili za kiswahili zinapigwa club,usher Raymond alishakopi style ya kucheza ya mondiNimefanikiwa kufika nchi kadhaa na sikuwahi kuona watu wa nchi hizo wakisikiliza au kufurahia nyimbo zilizoimbwa kwa lugha za nchi zingine wasizozijua.
Lakini hapa kwetu miaka nenda rudi tangu nakua miaka ya 70 nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakisikiliza nyimbo za Kizungu na ukiwafuatilia hata neno moja hawajui maana yake, tena nakumbuka hii ni hadi vijijini ambapo hata salamu ya kiingereza haijui, nakumbuka wengine waliweza kukariri nyimbo yote ya Bob marley au Celine Diana.
Naona kwa nyimbo za Kongo ndio usiseme yaani ndizo zinazobamba kwenye baa na kwenye maharusi. Hata hapa ninapoandika hii mada nipo baa moja kali sana lakini mwanzo mwisho ni nyimbo za Kongo.
Kwa usomi wangu mdogo ninafikiri huenda kuna hujuma tulifanyiwa na wakoloni wetu wakatupatia dawa za kulevya ndio maana wengi tupo kama wajingawajinga sana , na wengine wapo kama mateja hivi NA NDIO MAANA NCHI HII NI RAHISI SANA KWA WATAWALA
Kote ambako mondi anapiga show wanajua kiswahili!?..Wewe kubali tu kuwa tunaongoza katika ujinga. Yaani ukitaka kuelewa vizuri basi mchukuwe nyani umuwekee mziki utaona anavyosikiliza na kurukaruka japo hajui kinachoimbwa. Lakini kwa Binadamu aliyekamilika hawezi kufanya hivyo, narudia kusema BINADAMU ALIYEKAMILIKA.
Na hii tabia ipo sana Tanzania. Watu wake husikiliza sana nyimbo wasizojua zinaongelea nini.
Na ndio maana wanazijua sana nyimbo za kongo ila muulize kinachoimbwa ni kipi hajui.
Nchi hii ni rahisi sana kwa watawala
Achana nao hao, wazushi tu hao. Utasikia wanaongea " kuriabarishinda, tototototo, tetetetetete, ruguria, ruguriashinda". Ukiwauliza wanasema eti wamejawa roho mtakatifu hivyo wananena lugha mpya.Na wanaomuomba mungu kwa ligha wasiyoijua?
Pia Makirikiri hatuelewi walikua wanaimba nini ila tulivutiwa jinsi walivyokua wanadanceUkiona mtu anapenda wimbo ila haelewi basi beat ndo inamvutia ama kipaumbele chake.
Abaabaaa prakatatumba...huu wimbo umechezwa sana miaka michache nyuma ila hatujui hata kinaimbwa nini
Aldji aladji hatuelewi
nyimbo za koffi olomide hatuelewi na nyingine nyingi tu
Sent using Jamii Forums mobile app