Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Waulize wenyeji wako mkuu utapata jibu nzuriKipindi Cha JPM sikuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize wenyeji wako mkuu utapata jibu nzuriKipindi Cha JPM sikuwepo
Sawa mkuuWaulize wenyeji wako mkuu utapata jibu nzuri
Ukweli ni kuwa shirika limekuwa kubwa sana kwa uwezo wetu tunashindwa kulimudu. Na linaendelea kukuwa kila kukicha.Kwa kweli wafanya tu hata hiv itasaidia sana!! Haya mateso wanayowapa Watanzania hayafai kabisa!!
Wabnafishe tu hilo li Tanesco halina dhamani tena wameshindwa kabisa kujiendesha!! Na muhimu waigawe vipande vipande kama proposal yako uliyotoa, hata ikiwezekana kila Wilaya wawe na kampuni yao ya Electrical Power!! Njia za kuzalisha umeme ni nyingi sana wawekezaji binafsi wanaweza kuwekeza wakauza Wilayani kwenye shirika, huu ujinga utaisha kabisa!
Uongozi wa CCM ni janga kwa nchi yetu. Ukiona tatizo lolote lile linajitokeza nje ya kawaida, basi tambua kuna 10% ya mafisadi inahitajika.
Mbona hii inajulikana na kila mtu hadi watoto wadogo!Kama ni hivyo itakua Kuna watu wachache wanaonufaika kwa watanzania kukosa umeme
Uuuwiiii! Kuna Nchi nyingi hazina mgawo kwa vile hazina umeme. Nusu ya Kenya hains mgawo kwa sababu hains umeme. 90% ya South Africa haina mgawo kwa sababu haina umeme. Jiji la Pretoria na Durban na Johaneesburg yana mgawo wa masaa 7 kila SIKU. Where do you live?Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa.Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume chake.Haijalishi kuna nini wala nini.
Kwa utafiti wangu wa haraka haraka ndani ya wiki kadhaa, nimebaini kwamba kwa sasa ni Tanzania pekee ndio kuna mgao mkari wa umeme Africa nzima, bila kujalisha mvua zinanyesha au la, ni migao ambayo hatujui sabanu kwani mvua zimenyesha za kutosha.
Nchi nyingi zilizo kuwa na migao kama Zambia kwa sasa imetulia baada ya Mvua kunyesha kule kwenye bwawa lao kubwa la kariba na elewa ni mvua za Masika ndio zilituliza mgao kule Zambia, maoe wao hawana hizi Elinino.
Cha ajabu kwa Tanzania ni tofauti, kuna migao ambayo haijalishi kuna mvua au mafuriko au ukame, tunazidiwa hadi na Somalia kwenye vita kule. Nchi ija migao ya umeme mwaka mzima na kibaya zaidi hakuna dalili za migao kupungua kwa siku za karibuni, kuna uwezekano haki ikaenda hadi Dec Mwakani tena.
Doto kinamshinda nn kuondoa hiyo mizizi? Mpaka na Unaibu Waziri mkuu kapewa? He has all powers!!! Mbona uchafu ni ule ule tu!!Mizizi imewekwa na nani?
Hata Mwl.Nyerere baada ya vita ya Kagera 1978/79,alisema Watanzania tufunge mikanda kwa miezi 18.Lakini sijui ni lini tulifungua mikanda ya maisha magumu na kuishi maisha ya nchi ya ahadi.Mgao wa umeme Tanzania ni wa kipekee duniani kwani nakumbuka wakati hii migao inaanza wakati wa Mwinyi nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1993 tulidanganywa kama kawaida kwamba ni mgao wa kwanza na wa mwisho lakini kumbe ndio mgao ulikuwa unatambulishwa rasmi.
Chini ya huu utawala usio na ridhaa ya wananchi migao ya umeme kamwe haitaisha na tutasubiri sana kwa sababu ni artificial power rationing corruptly designed to save the selfish interests of some greedy individuals in the government. That's all.
na hao walimu ndio wanatakiwa kufundisha masomo ya analytical skills kwa watotoNdiyo maana unaona walimu wakuu Tanzania pekee wanamjuchukulia form Rais na uchaguzi bado miaka 2 huwezi kuona sehemu nyingine duniani kuna walimu wajinga kama Tanzania.
Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume chake.Haijalishi kuna nini wala nini.
Kwa utafiti wangu wa haraka haraka ndani ya wiki kadhaa, nimebaini kwamba kwa sasa ni Tanzania pekee ndio kuna mgao mkari wa umeme Africa nzima, bila kujalisha mvua zinanyesha au la, ni migao ambayo hatujui sabanu kwani mvua zimenyesha za kutosha.
Nchi nyingi zilizo kuwa na migao kama Zambia kwa sasa imetulia baada ya Mvua kunyesha kule kwenye bwawa lao kubwa la kariba na elewa ni mvua za Masika ndio zilituliza mgao kule Zambia, maoe wao hawana hizi Elinino.
Cha ajabu kwa Tanzania ni tofauti, kuna migao ambayo haijalishi kuna mvua au mafuriko au ukame, tunazidiwa hadi na Somalia kwenye vita kule. Nchi ija migao ya umeme mwaka mzima na kibaya zaidi hakuna dalili za migao kupungua kwa siku za karibuni, kuna uwezekano haki ikaenda hadi Dec Mwakani tena.
Una point hapa.Adui wa tanesco anajulikana, ni ujinga wa Mtanzania.
Wote wanafanya makosa ya kutatuwa tatizo kwa njia zilezile zilizoshindikana kutatuwa tatizo.
Mboa utatuzi wa Tanesco ni mdogo sana, shirika likatwe vipande vipande tu, kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.
Hapo ndipo itajulikana, mkoa unaoshindwa wanapewa watu binafsi waendeshe.
Ndani ya miezi mitatu hutosikia tena mgao wa umeme.
Wapiga vigelele ni artficial mkuu,Ni Tanzania pekee kiongozi mkuu anapigiwa vigegele huku nchi ipo gizani.
Ni Tanzania pekee serikali inaendelea kusifiwa hata ikiboronga kiasi gani!
Alifanya kosa Gani?Mbona hii inajulikana na kila mtu hadi watoto wadogo!
Kenya haina umeme upi? we uko Kenya at the same time uko South Africa? chawa weweUuuwiiii! Kuna Nchi nyingi hazina mgawo kwa vile hazina umeme. Nusu ya Kenya hains mgawo kwa sababu hains umeme. 90% ya South Africa haina mgawo kwa sababu haina umeme. Jiji la Pretoria na Durban na Johaneesburg yana mgawo wa masaa 7 kila SIKU. Where do you live?
Sio Tanesco tatizo linajulikanaNaona sasa hivi Tanesco hawana tena visingizio, simply wanatukatia umeme hovyo makusudi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Adui wa tanesco anajulikana, ni ujinga wa Mtanzania.
Wote wanafanya makosa ya kutatuwa tatizo kwa njia zilezile zilizoshindikana kutatuwa tatizo.
Mbona utatuzi wa Tanesco ni mdogo sana, shirika likatwe vipande vipande tu, kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.
Hapo ndipo itajulikana, mkoa unaoshindwa wanapewa watu binafsi waendeshe.
Ndani ya miezi mitatu hutosikia tena mgao wa umeme.