Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

Hili tatizo la Umeme linataka watu wa kujitoa kutatua hili tatizo sidhani kama litatatuliwa hivi karibuni na pia mgao utaendelea kuwepo miaka na miaka maana hata hawajui tatizo ni nini unadhani watatatua hilo tatizo wanaposema Nchi masikini pia na watu wake wana uwezo mdogo wa kufikiri na kutatua changamoto zinazowazunguka...
 
Ukweli ni kuwa shirika limekuwa kubwa sana kwa uwezo wetu tunashindwa kulimudu. Na linaendelea kukuwa kila kukicha.

Likatwe katwe tu.
 
Uongozi wa CCM ni janga kwa nchi yetu. Ukiona tatizo lolote lile linajitokeza nje ya kawaida, basi tambua kuna 10% ya mafisadi inahitajika.
Na bado, tunawaandalia watoto wetu waje kuwaongoza hapo baadae.
 
Uuuwiiii! Kuna Nchi nyingi hazina mgawo kwa vile hazina umeme. Nusu ya Kenya hains mgawo kwa sababu hains umeme. 90% ya South Africa haina mgawo kwa sababu haina umeme. Jiji la Pretoria na Durban na Johaneesburg yana mgawo wa masaa 7 kila SIKU. Where do you live?
 
Hata Mwl.Nyerere baada ya vita ya Kagera 1978/79,alisema Watanzania tufunge mikanda kwa miezi 18.Lakini sijui ni lini tulifungua mikanda ya maisha magumu na kuishi maisha ya nchi ya ahadi.

Umeme hutumika kama sera ya mgombea uraisi toka Chama Cha mboga mboga ili kupata Kura, kwa kundi la wapumbavu walio wengi ndani ya taifa hili.

Na kichaka Cha umeme ndo kichaka Cha ufisadi ndani ya taifa hili.
 

Halafu mama anakuwa na mdomo domo kuongea matatizo ya Kenya ya kwake yamemshinda
 
Una point hapa.
 
Kenya haina umeme upi? we uko Kenya at the same time uko South Africa? chawa wewe
 
Nchi nzima alikuwepo Kiongozi mmoja tu msema kweli na anaejitambua... Leo hayupo waty Mil 50+ tumeshindwa kujiongoza hata kwenye suala moja tu la Umeme achilia mengine yote yaliyolalaa... Mafuriko kila kona msengee mmoja anakuja kutuambia Hakuna maji ya kutosha...[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 

Pole sana fox
Umeandika bila ya kujua vizuri

Sitetei selikali hapana ila unatakiwa ujue ya kua umeme wote tanzania ni mmoja (grid)
Ila zimegawiwa kwa kila mkoa (substation)

Hivyo kusema kila mkoa ukitegemee itakua ni uwongo kwakua sio kweli kua kila mkoa unaweza kuzalisha umeme wake
Unless uwe umeme wa jua!
Kumbuka kujenga power plants inatumia pesa
Location pia huzingatiwa
Hivyo wazo lako ni jema ila kutokana na aina ya umeme tunaotumia tanzania itakua ngumu ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…