Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

Dikteta Magu aliwazeje? pamoja na ukatili wake lakini sikuwahi kusikia mgao wa maji wala umeme, Rostam, Makamba na JK wanajua wanachokifanya kwenye huu mgao
Hakuweza kabisa, tusidanganyane.

Mwendazake alikuta mitambo mipya kabisa ya Kikwete ya Kinyerezi I, II, III na IV na ikaanza kufa mmoja mmoja katika wakati wake. Ilikuwa inakufa inapomaliza warranty yake tu ya miaka miwili.

Mwisho ikafa yote na hakuna poesa za kuifufuwa, alifanya ujinga sana kukataa kusaini "extended warranty" na kampuni zilizofunga hiyo mitambo. "kwani Watanzania watashindwa kuisimamia" - ka sauti yake. Ndilo kosa hilo linaloitu cost mpaka leo.

Wazungu nao wamaechukuwa advantage, wanasema kuitengeneza sasa gharama zake ni kubwa sana, uamuzi ni wetu.
 
Wewe ajuza ni mpuuzi sana
 
Siku hizi kuna kitu kinaitwa segmented synchronous grid, ni mambo madogo sana hayo.

Kila mkoa unajitegemea na grid inabaki kama ilivyo. Ni switching tu hapo zinafanya kazi, hakuna zaidi.

Tena kwa siku hizi zinaweza kuwa automated na grid ikawepo na unaelewa kabisa nani anatumia umeme kiasi gani wa kwenye grid.

Kwa kukujuza, mimi ni Engineer mstaafu niliyefanya kazi nje ya Tanzania.
 
Sawa bro
 
Hata Tanzania ni awamu hii tu ndo tunashuhudia mgao masika.

Mitambo iliharibika ghafla ilipoingia madarakani na hakuna pesa imetenga bajeti tatu sasa imepitisha bungeni.
 
Kwani matengenezo ya miundombinu ya umeme hayajaisha
 
Mambo madogo kama mipango miji imewashinda.Sasa mambo ya umeme wataweza kweli?
Sikumkubali JPM kwa baadhi ya vitu,lakini alifanya jambo kubwa ambalo wengi walishindwa hasa kwenye umeme wakawa watu wa kumuonea wivu wa kijinga.
 
Shida ni huyo bib kiroboto pale juu , kuongozwa na mwanamke ni laana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ukishaakata na umemeo kil mkoa utazalisha wake au bado kutakuwa na mabo ya grill

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…