Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

Yule mama pale juu si alisema mwisho miezi 6 na sasa imbaki miezi 2 tu ..maana utawala wa magu haukufanya ukarabati kwa miaka 5, mfululuzi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kuwa shirika limekuwa kubwa sana kwa uwezo wetu tunashindwa kulimudu. Na linaendelea kukuwa kila kukicha.

Likatwe katwe tu.
USAHIHI:Shirika limekuwa kubwa kwa awamu ya sita tu.

TANESCO ina ukubwa gani?

Kila Mkoa na wilaya ina Mamlaka yake ya maji safi na usafi wa mazingira ila mgao wa maji upo kila mkoa kwa sasa!

Hoja ya kukata vipande haina mashiko,shida uongozi uliopo hautoshi.

Mlianza kwa kupiga porojo za service hatimaye mnakubali mmeshindwa.
 
Umeenda south africa
 
Siyo kweli, kama mitambo ilikuwa imekufa kwanini umeme ulikuwa haukatiki? sijasema 100% alipatia lakini umeme ulikuwa haukatika hata ukiomba kuunganishiwa kwa elf 27 ndani ya saa 24 umeungwa sahivi 320,000 kuungwa ni hisani mpaka utoe rushwa, alikuwa na mabaya yake lakini kwenye umeme na maji hapana, hata kipindupindu tulisahau sahivi kimerudi kwa kasi sn. tuache utani wapigaji hawataki kabisa umeme wa uhakika hata SGR ni maigizo tupu, shida yako unateswa na udini na siyo uhalisia, sisemi Samia ana mabaya yote hapana ana mazuri yake machache lakini mambo mengi anadanganywa siyo mtu wa field ni mtu wa kuletewa vitu mezani na kuamini.
 
Watakuja akina mbwa wa shamba kukupinga
Kuna wimbi la umaskini limeongezeka kutokana na mgao wa umeme
 
Mambo madogo kama mipango miji imewashinda.Sasa mambo ya umeme wataweza kweli?
Sikumkubali JPM kwa baadhi ya vitu,lakini alifanya jambo kubwa ambalo wengi walishindwa hasa kwenye umeme wakawa watu wa kumuonea wivu wa kijinga.
Yani kkoo kunanukaa mavi kila konaa.. chemba zimefuka maji yanatirirka ovyo alafu wahusika wapo ofisini wanakula maisha tu
 
Kwa hiyo alivyokufa tu na mitambo ikachoka???? Wee bibi kizeee utulieee.
 
Yula hata akiambiwa Mtambo wa Mili 100 ni sh Bilion 200 anatoaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labda tusubiri hiyo january mitambo ya kwenye bwawa la stiglaz iwashwe
 
Kama ni hivyo itakua Kuna watu wachache wanaonufaika kwa watanzania kukosa umeme
Kwani wewe hulijui hilo

1) Magenerator madogo na makubwa yanauzika sana kama umeme hakuna

2) Kuna kampuni zile zinazo plant Generator katika makampuni na maofisi makubwa

3) Kuna makampuni yanayofanya service za Magenerator makubwa yalioko katika makampuni na maofisi makubwa

4) Solar zinauzika sana kama umeme hakuna

5) Gase zinauzika sana kama umeme hakuna

Hizo biashara hapo zote zinamilikiwa na mafisadi hivyo inawezekana kuzimwa umeme Ili mafisadi wapige pesa

R .I.P Jembe langu
Raisi pekee uliyefanikiwa kuwanyoosha mafisadi
 

Upo sahihi kabisa. Katika kipindi cha wiki 9 nimetembelea mataifa 6 ya Afrika, sijakuta kukosekana umeme kwa nchi yeyote katika nchi nilizotembelea.
 
Inasikitisha sana
 

Kwenye hili, kwa mara ya kwanza nakubakiana na mawazo yako.

Shirika likatwe vipabde vipabde, kwa lengo siku moja lifutwe kabisa. Umeme uzalishwe na kusambazwa na sejta binafsi tu.

Tunafahamu kabisa, kwa aina ya watu wanaokuwepo Serikalini, hasa hii serikali ya CCM hakuna chema ambacho huwa kinafanikiwa, wanachoweza ni uovu tu: ufisadi, rushwa, kudhulumu haki za watu, na wakati wote kufikiria wanavyoweza kubakia madarakani iwe kwa haki au dhuluma.
 
hayo ya kuuziwa na kampuni binafsi ndo mambo ya IPTL yani ni wizi plus..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…