Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

Jkt ruvu ikifungwa ndiyo huwa nafurahia.
We utakuwa umefukuzwa jeshini au umewahi kupokea kipigo cha wajeda si bure uichukie timu yenyewe ya mkiani kabisa kila siku vipigo.

Mh kwahiyo mkuu ww kwako kila siku utakuwa una furaha maana hiyotimu si inapigwa mara kibao tu.
 
Yanga na manchester united hasa hiyo ya pili manake watu wake wana midomokasuku
 
Mpaka hapa Manyau a.k.a Mwanitesa utd a.k.a Manchester utd inaongoza kwa kura kibao kwa kuchukiwa.Automatically hii ina represent na sehemu nyingine za duniani kuwa hali iko hvhv.
Poleni sana Mashetani wekundu
 
Si ilikua mechi ya bonanza ile maana Bingwa alikua kashatwaa ndooilika bado kukabidhiwa tu

Ni kama mechi ya juzi ya kirafiki Mnyama alipomning'iniza AFC Leopards
Hahahaaaa. Ya bonanzaaaa. 😳😳😳😳 we Sesten.

Hahahaaaaa. Naona Unajitahidi kufukia mashimo. 😜😜😜
 
Hizi timu zikifungwa huwa nafurahi Sana:
Man United
Asernal
Liverpool
Tottenham
Man City
..................hongezea zingine
 
arsenal na barcelona huwa nafurahi sana zikipitia kipindi kigumu
 
Mie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.

(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Nimesitisha ile ofa yangu
 
Timu yoyote anayochezea C. Ronaldo
Timu yoyote anayochezea Neymar
Timu yoyote anayochezea Messi
Yanga, Simba, Taifa Star
Arsena, Man utd, Liverpool.
Brazil

Kiufupi sipendi timu zenye washabiki sifa na wachezaji wenye mijisifa
Wee sio shabiki wa mpira, unalazimishwa tuu
 
Mpaka hapa Manyau a.k.a Mwanitesa utd a.k.a Manchester utd inaongoza kwa kura kibao kwa kuchukiwa.Automatically hii ina represent na sehemu nyingine za duniani kuwa hali iko hvhv.
Poleni sana Mashetani wekundu
Na hapo ushindi wenyewe tiamaji tiamaji, sijui ingekua inashinda kila mara mngepata tabu sana.
Poleni sana mnaoichukia mau u.
 
Hizi timu zikifungwa huwa nafurahi Sana:
Man United
Asernal
Liverpool
Tottenham
Man City
..................hongezea zingine
Na hao ndo wababe wako kwa nini sio hull city au burnley?
 
Mpaka hapa Manyau a.k.a Mwanitesa utd a.k.a Manchester utd inaongoza kwa kura kibao kwa kuchukiwa.Automatically hii ina represent na sehemu nyingine za duniani kuwa hali iko hvhv.
Poleni sana Mashetani wekundu
Lazima umchukie mbabe wako mtu anekudunda hadi kamasi zinatoka unawezaje kumfurahia?

Timu iliyoshinda mechi nyingi ktk historia ya ligi kuu ya uingereza ni manchester united makombe mengi united magoli mengi united una furaha gani kuipenda zaidi ya maumivu?

Tajir huwa hapendwi na masikin anaomba kila siku afilisike aishi kama yeye.
 
Naukataa na nitaukataa kila siku. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani we Sesten wa Yanga unaukubali eee?
Yanga mnanifurahisha kwa mnavojua kujipa moyo aisee Hajar

Yaani mnaona kabisaa Wa Msimbazi mwaka huu ni fayaaaa lakini mnajifanya kama hamuoni vilee!!!

Tarehe 30 panapo majaaliwa ya Allah sio mbali ujue bibie!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…